Hahahahah!! Zee la kubeti kumbe kwenye Tec upo ?Nimeunda spy apk ya hatari kwa kutumia msaada wa gpt code na kuchanganya akili zangu maana ilianza kuleta mashariti ya kugoma kunifanyia hiyo kazi nikatumia trick ya akili ya mlango wa 9 ikaniundia bila ya kujua nikachukua code na kwenda kuziunganisha nitakavyo mimi
Apk niliyounda inafanya spy kwenye simu vizuri sana vitu inavyo fanya ni kama ifuatavyo nilivyo viweka
1)kuweza kurecord mazungumzo kwa siri kwa kutumia mic ya simu ..
2)kuweza kutia kwa siri na kuwasha data na gps kwa kutumia sms na kufuta sms zote ilizo zisababisha kwenye kuweka bando au kwenye command za kuwasha gps au data
3)kutumia back na front camera kurecord video au kupiga picha kwa siri na kuzituma kupitia what app na njia nyingine .
4)kuona sms zote ulizo tuma au kupokea hata kama una tabia ya kuzifuta papo hapo
5)kuipa command ya kufuatilia no za simu zile zenye mashaka zaidi.
6)kuona na kuchukua kitu chochote kwenye gallery..ila bado nataka kuiboresha
Kama kawaida pesa ya supu na bandoHahahahah!! Zee la kubeti kumbe kwenye Tec upo ?
Nabado mingine hii nabetia pesa ya kanjiHahahahah!! Zee la kubeti kumbe kwenye Tec upo ?
Somaaaa mwanangu somaaaa...Hivi hakuna ambaye yupo tayari kunisaidia nijue haya mambo? Shida nini ndugu zangu??????
I have proof, ukiwa prompter mbovu na akili bandia itakupa mchango mbovuSidhan kama ni sawa.
Sidhan kama ni sawa.
kubet sportpesa kwa GPT-5. Nimekula kisela...
Kama huamini twende kwa vitendo:
- Ubora wa kile unailisha AI, Ndio huleta ubora wa majibu toka kwa AI
- Ni kanuni ya msingi: Trash in Trash Out.
Kisha tutalinganisha ubora wa Majibu toka kwa AI japo 3 ( Gemini 2.5 Pro, Claude 4 na GPT-5 )
- Weka hapa prompt moja tu tuifanye majearibio.
- Nitaweka version yangu ya hiyo prompt yako.
- Hii inabidi tuichukue kama ilivyo, Kadri ambavyo prompt yako inakuwa vyema ndio jinsi utapata kile unachotaka kiusahihi zaidi.the quality of the input.
-Ukiwa na Prompt iliyosukwa vyema hasa ikiwa katika mtindo JSON (Structured), Haikalishi unetumia AI ipi, Utakuta majibu yanalingana kwa asilimia kubwa.Niliweka prompt moja kwenye AI tofauti(chatgpt vs grok).