Coding DEEPSEEK ni bora kuliko CHATGPT!

Coding DEEPSEEK ni bora kuliko CHATGPT!

Iyo solution kufix ni grok sio wewe coz grok itakua ana lack memory
ChatGPT iko na memory nzur
Ukifikia kikomo cha conversation, ina lack past conversations. Inakutaka ufungue new conversation. Ata GPT nayo inaleta mashangashanga ukifika kikomo.
 
Kama wewe ni side hustle unaweza ukajichomeka kwenye Music AI kwa kutengeza nyimbo(mp3) na kupakia spotify ukapige mpunga, leo nilijaribu kugenerate nyimbo(mp3) mazee AI ni balaa sana nyimbo kali balaa ata nataka kushawishika nilipie ili nipate license ya commercial use na ku upload spotify . Kitu kimenishangaza sana leo , kama una mtaji wa $30/$100 unaweza ukaanza hii side hustle ya ku generate songs kwa AI na kwenda kuuza spotify. Na unaweza uka generate album kabisa bro ukaenda kupakia spotify ukala mpunga kule.

Nyimbo hizi :
1. Love Me or Leave Me Listen and Download | AI Music Generator
2. Love Me or Leave Me Listen and Download | AI Music Generator
3. https://suno.com/s/MGY5VrgqTTYhnHPb
Kweny music nilikua sijagusa kbs ni balaah hata mim ntakua AI musician..
 
DeepSeek imeendelea kunishangaza kwenye upande wa kuchakata IDEA, niliuliza swali moja la kutengeneza APP ili AI inisaidie kuchambua na kuchora UX/UI(Figma), kwa DeepSeek ilinisaidia kuchambua ila ikashindwa kuchora kozi hiyo feature bado haipo ili lifanya vzur sana na kwenda mbali zaidi kuliko Chatgpt. Kwenye upande wa idea DeepSeek ni zaidi na uwa napenda sana kuitumia kwenye brainstorm ideas iko vyema sana. Kwa upande wa Chatgpt inachambua idea ila hajiongez zaidi kwenye kuweka features mpya kwenye idea ambayo umempa achakate, ila kwenye upande wa UX/UI ni balaa zaidi, anachora na kuandika code zake kama image ilivyochora.

Chatgpt amenitisha zaidi kwenye upande wa UX/UI(Figma) ina madini makali sana, kuhusu UX ya app unayotaka kutengeneza Chatgpt ni njia bora ya kufanikisha ndoto yako.

Binafsi uwa nauliza DeepSeek then na copy response then na paste Chatgpt anakokotoa zaidi na hapo anakuwa hatari zaidi na uwa anakuja na idea ambayo ata wewe itakushangaza zaidi na mwisho anakuuliza nikuchore UX na database anakupa structure mzima. Hivi vitu kwa developers vilikuwa vigumu sana ila sasa ni very simple , unaweza kufanya project yoyote kama unajua ABC ya programming na kuunda APP kali zaidi na ya kisasa zaidi.

AI zilizo sasa ukiweza kuzitumia vizuri ni rahisi sana kutapa manufaa zaidi na kubadilisha maisha yako, kuna AI za kuchapa code kama Cursor , hii AI inakusaidia kuchapa code kwa kuweka UI/UX (Figma) au prompt ni kama github autopilot kwa watumia wa VS CODE, ukikosea ina correct kama kuna errors ina correct bila wewe kuchapa code. Ina rahisisha sana maisha ya programming, maana programming ni so kama unakuwa unachapa code from the scratch.

Nilijaribu Grok ila nimeona bado sana kwenye kuchambua idea nimeiteka, saiv ni DeepSeek na Chatgpt plus Cursor, kama ukilipia Chatgpt na Cursor utafurahia maisha ya coding na utafanikisha project zako kwa haraka zaidi.
shukran sana MKUU
 
Nimeunda spy apk ya hatari kwa kutumia msaada wa gpt code na kuchanganya akili zangu maana ilianza kuleta mashariti ya kugoma kunifanyia hiyo kazi nikatumia trick ya akili ya mlango wa 9 ikaniundia bila ya kujua nikachukua code na kwenda kuziunganisha nitakavyo mimi

Apk niliyounda inafanya spy kwenye simu vizuri sana vitu inavyo fanya ni kama ifuatavyo nilivyo viweka
1)kuweza kurecord mazungumzo kwa siri kwa kutumia mic ya simu ..
2)kuweza kutia kwa siri na kuwasha data na gps kwa kutumia sms na kufuta sms zote ilizo zisababisha kwenye kuweka bando au kwenye command za kuwasha gps au data
3)kutumia back na front camera kurecord video au kupiga picha kwa siri na kuzituma kupitia what app na njia nyingine .
4)kuona sms zote ulizo tuma au kupokea hata kama una tabia ya kuzifuta papo hapo
5)kuipa command ya kufuatilia no za simu zile zenye mashaka zaidi.
6)kuona na kuchukua kitu chochote kwenye gallery..ila bado nataka kuiboresha
 
Nimeunda spy apk ya hatari kwa kutumia msaada wa gpt code na kuchanganya akili zangu maana ilianza kuleta mashariti ya kugoma kunifanyia hiyo kazi nikatumia trick ya akili ya mlango wa 9 ikani7ndia bila ya kujua nikachukua code na kwenda kuziungan8sha nitakavyo mimi

Apk nikiyo unada inafanya spy kwenye somu vizuri sana vitu inavyo fanya ni kama ifuatavyo nikivyo viweka
1)kuweza kurecord mazungumzo kwa siri kwa kutumia mic ya simu ..
2)kuweza kutia kwa siri na kuwasha data na gps kwa kutumia sms na kufuta sms zote ilizo zisababisha kwenye kuweka bando au kwenye command za kuwasha gps au data
3)kutumia back na front camera kurecord video au kuoiga picha kwa siri na kuzituma kupitia what app na njia nyingine .
4)kuona sms zote ulizo tuma au kupokea hata kama una tabia ya kuzifuta papo hapo
5)kuipa command ya kufuatilia no za simu zile zenye mashaka zaidi.
6)kuona na kuchukua kitu chochote kwenye gallery..ila bado nataka kuiboresha
Dhumuni lako ni lipi bro?
 
Wakuu mimi naombeni mnijuze haya
Kwa mtu anaejua coding at basic level (python) lakini anajua kutumia AI tools vizuri,
Akiwa na idea yake ya kutengeneza bot kwa ajili ya biashara yake mfano kama ile ya NMB inayotumika whatsapp.
JeInawezekana kutengeneza kama ile kwa kutumia AI tools ?
Vipi upande wa security? Je mfumo utakuwa na usalama au kuna hatua za kuchukua kabla ya kuanza kutumika?
AI tool (s) ipi ni nzuri kwa project ya aina hii?
Je inawezekana kutengeneza app kama canva kwa kutumia AI?
Kwa hapa bongo nikitaka app kama canva je yaweza kugharimu shilingi ngapi mpaka kukamilika ( kuanzia designing coding hadi hosting)
Note: Nimetumia mifano ya canva na NMB bot ili iwe rahisi kueleweka
 
Wakuu mimi naombeni mnijuze haya
Kwa mtu anaejua coding at basic level (python) lakini anajua kutumia AI tools vizuri,
Akiwa na idea yake ya kutengeneza bot kwa ajili ya biashara yake mfano kama ile ya NMB inayotumika whatsapp.
JeInawezekana kutengeneza kama ile kwa kutumia AI tools ?
Vipi upande wa security? Je mfumo utakuwa na usalama au kuna hatua za kuchukua kabla ya kuanza kutumika?
AI tool (s) ipi ni nzuri kwa project ya aina hii?
Je inawezekana kutengeneza app kama canva kwa kutumia AI?
Kwa hapa bongo nikitaka app kama canva je yaweza kugharimu shilingi ngapi mpaka kukamilika ( kuanzia designing coding hadi hosting)
Note: Nimetumia mifano ya canva na NMB bot ili iwe rahisi kueleweka

From chatgpt perspectively:

Hii ni swali zuri sana na linaonesha unafikiria kwa kiwango cha juu kuhusu kutumia teknolojia ya AI kuleta suluhisho kwenye biashara zako. Nitajibu kila sehemu kwa ufasaha, kitaalamu na kwa mtazamo wa mazingira ya Tanzania:




1. Je, inawezekana kutengeneza WhatsApp bot kama ya NMB kwa kutumia AI tools kama mtu anajua Python ya basic level?


Ndiyo, inawezekana.
Hasa kama unajua Python, hata kama ni basic, unaweza kutumia AI tools zilizopo na libraries za Python kama:


  • LangChain au LlamaIndex kwa kufunga AI kwenye database yako
  • Flask au FastAPI kwa backend ya bot yako
  • Twilio API for WhatsApp au 360Dialog kwa kuunganisha na WhatsApp
  • OpenAI API (GPT) au Google PaLM kwa upande wa akili ya majibu ya bot

Kwa mfano, unaweza kutengeneza FAQ bot ya WhatsApp inayojibu maswali ya wateja kuhusu bidhaa zako, kama ilivyo kwa NMB. Huna haja ya kujua machine learning deep kabisa, ila unahitaji kuelewa mantiki ya prompt design, API calls, na jinsi ya kudhibiti sessions.




2. Upande wa Usalama (Security)


Kwa bot au app yoyote inayo-interact na watu (hasa kama unashughulika na taarifa binafsi au malipo), usalama ni jambo la msingi sana. Hatua unazopaswa kuchukua:


a. Encryption


  • Hakikisha data yoyote inayosafirishwa ina https://
  • Tumia end-to-end encryption kama uko kwenye WhatsApp API

b. Authentication


  • Weka mfumo wa kuthibitisha mtumiaji (tokens au OTP)
  • Session control – muda wa mtumiaji ku-logout

c. Rate Limiting & Abuse Prevention


  • Zuia bot isitumiwe vibaya au ku-down kwa kuzuia requests nyingi zisizo halali

d. Logging & Monitoring


  • Log kila activity ili ufuatilie matumizi na mashambulizi

Kwa ujumla, ni muhimu kushauriana na mtaalamu wa cybersecurity kabla ya ku-launch production version.




3. AI Tools nzuri kwa project kama hii (WhatsApp Bot)


Hizi ni tools na APIs zinazoweza kukusaidia:


KaziTool Inayopendekezwa
Lugha ya majibu (NLP)OpenAI GPT-4, Claude, Google Gemini
Kuunganisha na WhatsAppTwilio WhatsApp API, 360Dialog, Zoko.io
Backend ya BotLangChain, Python FastAPI, Node.js + Express
Memory/contextRedis, Pinecone
HostingRender, Heroku, Railway, GCP/AWS/Linode

Unaweza pia kutumia Botpress, Flowise AI, au Zapier + ChatGPT kama hujui coding kabisa.




4. Je, inawezekana kutengeneza app kama Canva kwa kutumia AI?


Ndiyo, lakini...
Canva ni kubwa sana, inahusisha:


  • Design tools (drag & drop, templates)
  • Collaboration
  • User accounts, storage, and file rendering
  • AI features (text to image, auto design, background removal)

Kwa kutumia AI tools za kisasa, unaweza kuanza version nyepesi kama:


  • AI-based logo generator
  • Template generator kwa social media posts
  • Document designer (PDF/poster)

Tools unazoweza kutumia:


  • GPT-4 + DALL·E – Kwa image + content generation
  • Replicate, HuggingFace Spaces – Models za AI
  • React.js + TailwindCSS – Frontend ya UI
  • Supabase / Firebase – Backend ya authentication & storage



5. Gharama ya kutengeneza app kama Canva kwa hapa Tanzania


Gharama hutegemea complexity na timu utakayotumia. Kwa mfano:


MVP (Minimum Viable Product) version ya Canva:​


  • UI Design (Figma): TSh 500,000 - 1,500,000
  • Frontend Development: TSh 2M - 5M
  • Backend (AI features + Storage): TSh 3M - 8M
  • AI APIs (monthly usage): $50 - $300 kwa mwezi
  • Hosting & Security: TSh 500,000 - 1M kwa mwaka
  • Total ya MVP: TSh 6M - 15M

Kama utatumia freelancers wa nje (Upwork, Fiverr), gharama inaweza kupungua au kuongezeka kulingana na ubora na muda.

Kwa Tanzania, unaweza pia kuunda team ndogo ya local developers au kushirikiana na AI developer wa nje kwa kazi fulani (AI logic, image generation, NLP, n.k.).




Ushauri wa Mwisho​


  • Anza na MVP, sio lazima uwe na kila feature kama Canva/NMB
  • Tumia tools zenye AI power tayari badala ya kuanza from scratch
  • Fikiria kuunda bidhaa ndogo ya AI-based na kufanya test market
  • Prioritize security, hata kama ni demo



Ikiwa unataka, naweza kukusaidia:


  1. Kuchagua AI tools bora kwa bot yako ya biashara
  2. Kutengeneza use case ya MVP ya Canva clone kwa Tanzania
  3. Kufanya makadirio ya gharama na timelines

Ungependa tuanze na use case ipi kwanza? Bot ya WhatsApp au AI Canva style app?
 
Kama una mpango wa kutengeneza website / app(iOS / Android) kwa kutumia AI, first all tengeneza business logic ya project yako kwa chatgpt au grok then mwambie chatgpt akuandikie prompt ambao unaweza kuitumia kutengeneza app/website kwenye Cursor Ai. Bro cursor anatililika hadi mwisho wa project wewe ni kuweka APIs za malipo kama unadeal na malipo then unafanya testing unapeleka mzigo mjini kwenda kupambana na soko.

Sijui utazingizia nini bro na AI kila sehem ngumu inapika kazi, na uzuri unaweza utafanya research kwa kutumia AI na ikakupa strength and weakness ya competitors wake walipo mjini, kwaiyo wewe unadili na weakness zaidi maana ndio yapo mengi kwa bongo na uwek ubahiri kwenye development. Yaan mzigo unakuwa wa moto sana ukienda mjini.

Ukiwa maskini karne hii ni wewe umejitakia mwenyewe na ujinga wako...

Am out...
 
Back
Top Bottom