Coding DEEPSEEK ni bora kuliko CHATGPT!

Coding DEEPSEEK ni bora kuliko CHATGPT!

Deepseek ina mawazo ya kikomunisti na haiko huru. Inaogopahata kusema Mao alikuwa nani huko China. Hata askari katili kama Faustine Mafwele deepseek inajifanya haimjue wakati ChatGPT inasema kabisa ni askari mwenye tuhuma za kufanya mauaji na ukatili.
Wewe unaleta siasa, watu wapo kwenye coding.
 
Habarini waungwana Je, Kuna mtu anataka kujifunza mql5 programming language au anataka msaada wa kutengenezewa expert advisor ya namna yeyote na mtindo wowote ule??
 
Latest:
1739871510659.png
 
Nawezaje kupata namba ya nje ya simu ya USA, Canada au German? Nasikia kuna app unapata pata bure au kununua.mwenye ufahamu wa hili anisaidie
Namba ya nje ya nini tena?
Unataka kuanza kufanya makeke, watu watafutane......
 
Umetumia Chatgpt ya subscribe fee au ya bure. Ya bure haikupi code zinye mistari maelf ipo limited tena hutoa ropoti. Sijawahi tumia ya malipo ambayo haina ukomo. Deepseek inawezekana kwa sababu huduma ni bure kwa 80% .
Mwenye uzoefu atujulishe CHATGBT ya malipo ikoje,inasifa zipi?
 
Mwenye uzoefu atujulishe CHATGBT ya malipo ikoje,inasifa zipi?
Ingia pale pale kwenye mlango wa Chatgpt. Kuna kaneno update to...
Bei imesimama kama dola kadhaa. Tembea na mchina.
Kama unamatumizi ya kukurudishia gharama lipia.
Limitation mojawapo ktk chat gpt ya bure ni drawings, na kukuelekeza baadhi ya mambo ufanye mwenyewe. Ni Jau sana hasa pale unakuwa na hamu ya kupata kitu chote.
 
DeepSeek imeendelea kunishangaza kwenye upande wa kuchakata IDEA, niliuliza swali moja la kutengeneza APP ili AI inisaidie kuchambua na kuchora UX/UI(Figma), kwa DeepSeek ilinisaidia kuchambua ila ikashindwa kuchora kozi hiyo feature bado haipo ili lifanya vzur sana na kwenda mbali zaidi kuliko Chatgpt. Kwenye upande wa idea DeepSeek ni zaidi na uwa napenda sana kuitumia kwenye brainstorm ideas iko vyema sana. Kwa upande wa Chatgpt inachambua idea ila hajiongez zaidi kwenye kuweka features mpya kwenye idea ambayo umempa achakate, ila kwenye upande wa UX/UI ni balaa zaidi, anachora na kuandika code zake kama image ilivyochora.

Chatgpt amenitisha zaidi kwenye upande wa UX/UI(Figma) ina madini makali sana, kuhusu UX ya app unayotaka kutengeneza Chatgpt ni njia bora ya kufanikisha ndoto yako.

Binafsi uwa nauliza DeepSeek then na copy response then na paste Chatgpt anakokotoa zaidi na hapo anakuwa hatari zaidi na uwa anakuja na idea ambayo ata wewe itakushangaza zaidi na mwisho anakuuliza nikuchore UX na database anakupa structure mzima. Hivi vitu kwa developers vilikuwa vigumu sana ila sasa ni very simple , unaweza kufanya project yoyote kama unajua ABC ya programming na kuunda APP kali zaidi na ya kisasa zaidi.

AI zilizo sasa ukiweza kuzitumia vizuri ni rahisi sana kutapa manufaa zaidi na kubadilisha maisha yako, kuna AI za kuchapa code kama Cursor , hii AI inakusaidia kuchapa code kwa kuweka UI/UX (Figma) au prompt ni kama github autopilot kwa watumia wa VS CODE, ukikosea ina correct kama kuna errors ina correct bila wewe kuchapa code. Ina rahisisha sana maisha ya programming, maana programming ni so kama unakuwa unachapa code from the scratch.

Nilijaribu Grok ila nimeona bado sana kwenye kuchambua idea nimeiteka, saiv ni DeepSeek na Chatgpt plus Cursor, kama ukilipia Chatgpt na Cursor utafurahia maisha ya coding na utafanikisha project zako kwa haraka zaidi.
 
Kwa kuwa mimi ni developer(PHP) ilkuwa rahisi sana ku adopt new language(Python), kama huna knowlodge ya program itakuwa gumu kuanza labda uwaze kujifunza python. Ukiwa na AI ni rahisi kujifunza tofaut na hapo awali.
Mkuu natamani sana kujua coding naomba nisaidie wewe ulianzaje napenda computer science lakini siyo ya kwenda shule. Ni learn alone
 
Back
Top Bottom