Club Billicanas. Before then

Club Billicanas. Before then

Missing u bills[emoji28][emoji28]
Akatokea mshamba mmoja akaona tunafaidi sana kuruka majoka pale akaamrisha ivunjwe wakati yeye alikua machakani huko ikiwa inajengwa. Ngoja nitameuliza kibatala juu ya malipo maana nakumbuka kuna kesi mbowe alishindaga sijajua iliishia wapi. Hopefully na hii itaishia pazuri tu. Ijengwe tena na wa mkoani nao wakija dar waoshe...
 
Haikuwa club ya wajinga kama mlivyodanganywa na mtu wa kijijini Makonda , kuna wakati nilirudishwa mlangoni kwa madai kwamba sikuwa nadhifu , ilibidi nirudi home kubadili mavazi
Kuna aliyekujaga amevaa sijui ni malapa na masendo yake ya kibosho akaambiwa huzami ndani kavae vizuri[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
kweli mkuu!

kiingilio safi, entertainment ya kipekee. siku hizi watu wanakusanya tu pesa mlangoni, wanauza pombe bei za ajabu!

dah... ipo siku tu!

nashukuru kwa kunikumbusha mbali!
nashukuru kwa kunikumbusha mbali![emoji1545][emoji1545][emoji1534][emoji1534][emoji1534][emoji2827][emoji2827]
 
Back
Top Bottom