witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,839
- 47,747
Teh tehMwendazake huko aliko anakula vifuti, vichwa, mateke, viboko, na kung'atwa na majoka makali
Teh tehMwendazake huko aliko anakula vifuti, vichwa, mateke, viboko, na kung'atwa na majoka makali
Mungu anatupenda sana, ametuokoa.Itachukua muda sana Tz kupata tena JUST kama hiiView attachment 1768404
Mungu fundi sana aisee khaa....Mungu anatupenda sana, ametuokoa.
Club za siku hizi hizo aisee sioni kipya....nadhani kwa sababu kwenye umri wangu wa clubbing i dd it better sikuacha kitu!!!Club Next door na Maisha picha zake ziko wapi ?
Walikuwa jamaa fulani wa hiphop yaani session ya hiphop ikianza ni kama wote mnapanguliwa dance floor wabaki wao.... kama unapenda hiphop na haupo kwa crew yao basi chezea juu kidogo ya dance floor!!!
Haikuwa club ya wajinga kama mlivyodanganywa na mtu wa kijijini Makonda , kuna wakati nilirudishwa mlangoni kwa madai kwamba sikuwa nadhifu , ilibidi nirudi home kubadili mavaziNgada humohumo
Hakuna club itafikia Billicanas katika ulizotajaClub Next door na Maisha picha zake ziko wapi ?
Wanaogopa sanamu litauliwa kwa kupigwa mawe?
Ni hasara tuuKwa faida ya nani sasa!