Club Billicanas. Before then

Club Billicanas. Before then

Nimesoma comments zote.

Nimeona jamaaa kweli kutoka moyoni hata huko kuzimu kaungua na kafa kabisa maana alikuwa mbaya kuliko hata shetani.

Ndio kiongozi pekee anakumbukwa kwa mabaya hapa Tanzania
 
Nimesoma comments zote.

Nimeona jamaaa kweli kutoka moyoni hata huko kuzimu kaungua na kafa kabisa maana alikuwa mbaya kuliko hata shetani.

Ndio kiongozi pekee anakumbukwa kwa mabaya hapa Tanzania
Nchi ilipita katika kipindi kigumu mno
 
kwahiyo hii ndio ilimfanya mbowe akimbie shule. na angesoma huyu jamaa angeshakuwa rais aisee, babake alikuwa na hela tangu anazaliwa mbowe, akaona shule haina maana ila UDJ. ona sasa.
 
Ila kina Langa na Ngwea huko walipo wakiulizwa ushenzi waljifunzia hapo ambako unamtukania Magufuli[emoji28]!

Mmiliki wa hio Club DJ Gaidi alikuwa ndio hub yake ya kuuzia powder!
MATAGA jiheshimu. Unajitoa kbs ufaham juu ya walikojifunzia na walikua watoto qa jk? Adabu umeiacha wapi

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom