kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 11,185
- 24,564
Naandika huu ujumbe kwa uchungu mkubwa sana[emoji24]
Natamani hata nitoke nje nitangazie dunia nzima inielewe!!
Nimedokezwa kuwa Muhimbili pekee kulikua na maiti zaidi 5600 za watu waliopigwa Risasi siku za tarehe 29 na tarehe 30
Hapo bado sijapata taarifa za Mloganzila,Amana, Temeke, mwananyamala na hosptali ya Wilaya ya Ubungo!!
Kuna dada mmoja ni ndugu yangu anafanya kazi pale aisee hali ni mbaya unaambiwa mpaka sasa maiti zilizoorodheshwa ni zaidi ya 5600 hapo ni Muhimbili tu[emoji24]
Sijui hosptali nyingine hali ipoje, bado sijasemea mikoani[emoji24]
Huenda tukawa na idadi ya watu hata elfu 20 hivi huko Mbeya kuna kijiji cha mpakani huko wameuliwa watu zaidi ya 200 hadi wananchi wengine wamekimbilia nchi jirani
Hali ni mbaya sana, tuna kila sababu ya kupaza sauti, huu ni zaidi ya ukatili haya ni mauaji ya kimbari aiseee[emoji24]