miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,409
- 11,083
Na vile vifaranga alivyochoma vinampigia kelele sijui kama analala
We unaonekana huna xmas hata 3 mjini
MATAGA jiheshimu. Unajitoa kbs ufaham juu ya walikojifunzia na walikua watoto qa jk? Adabu umeiacha wapi
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Hebu tuwekee picha tuone hivi sasa ilivyo"Hongera comrade" ila inasikitisha sana huyu "nanii GANG kavunja imekuwa kichaka cha kubaka wanawake usiku"
Huyu mmama nae[emoji706]dogo tulia,acha mihemko hujui huu mji hata robi,kama wenzako wachimba chumvi humu,mliokusanyana mnatiana ujinga kwa vidole.