Simba inawahitaji Pacome na Aziz ki Ili kufuzu loser cup

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
23,033
Reaction score
33,019
Wakuu wiki nzima hii .imi kama mchambuzi nimehangaika sana kufanya analysis Ili Simba ashinde Kwa mkapa .....chaajabu Kila nikipanga kikosi then nikifanya time traveling ( yaani nikirukia tarehe 10 after match) nakuta mnyama kakandwa Tena

Kila kikosi nikipanga ...matokeo yanakuja .. mnyama kakandwa heavily
Lakini Leo ghafla likaja wazo la kumuongeza pacome na Aziz ki...Kwa kikosi Cha simba.. thanks equation imebalance na mnyama kashinda
Why pacome na Aziz ki
-Simba watahitaji mtu wakuwafungua waarabu waliopaki bus automatically ni pacome na sio mpanzu (mikimbio ya nyumbu)
- Simba watahitaji mtu wa kugonga mashuti ya mbali pindi muaarabu akipaki busi
Bila hivo makolo ..... you have no abilities to qualify [emoji24][emoji24]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Wakati mnaishia makundi hao watu hawakuwepo? Mbona hawakuwasaidia nyie kuvuka? Au hao wachezaji level zao loser cup?
 
Umewahi jiuliza ....why mganga anakupa mafanikio while yeye ni maskin wa kutupa???

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ukiulizwa swali ni hekima ukijibu swali kwanza na ndipo uulize swali.

Ni aibu kujiita mchambuzi ilhali hujui hata kanuni za hiyo taaluma zilivyo.

Waganga wa kienyeji na mafanikio wapi na wapi 🐸🐸
 
Ukiulizwa swali ni hekima ukijibu swali kwanza na ndipo uulize swali.

Ni aibu kujiita mchambuzi ilhali hujui hata kanuni za hiyo taaluma zilivyo.

Waganga wa kienyeji na mafanikio wapi na wapi [emoji196][emoji196]
Kwamba huamini utajiri wa waganga [emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Hao walioshindwa kupata hata kagoli kamoja kakuwavusha makundi au wengine?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom