Hapana, mie najua matope huwa yanateleza.....:tape::tape::tape:
Ni kweli kabisa, lakini kwa nini kila wanachofanya clouds fm kionekane kibaya?!!
...loh hb ni mzigo ...Si Mlitaka Raisi handsome, na Mkapata?
Haya Sasa tuvumiliane tu.
Kuna vitu ambavyo lazima tuyaangalie kwa undani. Walichokifanya Clouds ni kitu cha kuigwa kutumia Jingle ya sauti ya Rais wangu ni kuwaambia watanzania kuwa wanazo Baraka zote toka kwa Rais.
Rais anatoa shukurani zake na kutuaminisha watanzania Fursa ilikuwa ya kuigwa.
Tuache kuwa biased. Tanzania ni yetu wew ukiona Negative sisi Tunaona Positive things.
Rais mwenyewe waliisha mnunua zamani
Tutamkumbuka sana maana hatujawahi kuwa na Rais asiye na msimamo na aliyefanya Serikali ni chombo cha washkaji kama huyu..JK ameufanya Uraisi ni Kuongoza sio Utawala,hataki aonekane kama dikteta au Mfalme,JK mtu wa watu.hana majigambo wala kusujudiwa,wala Ikulu hataki ionekane kama peponi ni nyumba yetu na kila Mtu alieiletea Taifa heshma anawezakwenda,zamani hata Waandishi wa habari walikuwa Ikulu wanaiona kama Peponi.Jamaa akiondoka tutamkumbuka.
Japo sijasikia hilo Tangazo lakini Sidhani kama ni vizuri kutumia Taasisi hiyo kwa matangazo. Na mkuu mwenyewe sijui hilo halioni niliwahi kusikia sauti yake kwenye DUNIA YAKO CHAGUO LAKO. Hadi kwenye Fursa nadhani yupo heunda na hisa huko.