Ni kweli kabisa, lakini kwa nini kila wanachofanya clouds fm kionekane kibaya?!!
Kwa sababu ni kibaya
Ni kweli kabisa, lakini kwa nini kila wanachofanya clouds fm kionekane kibaya?!!
What a joke from Great Thinker!
Ethics and its code of conduct INAKATAZA kwa taasisi yyt ya serikali ikiwemo IKULU kujihusisha na private owned investment isipokuwa kwenye issue ya kodi na ushauri!
Rais wa nchi kujihusisha na tangazo la private media ni aibu na kama ingeonekana ni muhimu sauti ya Rais itumike hilo tangazo lingerushwa na State Media-TBC
JK kafanya kila mtu aamini anaweza kuwa Rais na wala sijashangaa niliposoma jana kuwa Kigwangallah nae anataka agombee 2015!
Hvi kweli jaman huyu Jk anajua anachokifanya, sijuwi hata washauri wa hyo taasisi wanajua nin cha kufanya., Pole zao an Slow slow yes Muvument 2tafika tu japo tutakuwa tumechelewa. Kila ninaposikia hilo tangazo nataman kufa
Rais kuongea Clouds sio tatizo. Tatizo ni Rais kutumia fursa aliyopata kuisifia Clouds kama the best media na kimsingi maneno ya Rais yanaonesha kana kwamba hakuna media nyingine kama Clouds which is wrong! Kibaya zaidi, ni Clouds kutumia maneno ya Rais kujitangaza which is absolutely wrong!
Rais ni Rais wa wote na sio wa Clouds peke yao au taasisi nyingine binafsi. Main theme ya speech ya Rais ilikuwa ni issue ya "fursa" kwa watanzania ambayo media nyingine yoyote ina haki ya kuitangaza lakini speech yenyewe inapohusisha promo kwa media mojawapo nadhani itakuwa vigumu kwa media zingine kutangaza speech ya aina hiyo. Unless tuambiwe kwa wakati ule Rais hakuwa anaongea kama Rais bali kama mtu binafsi. Tupende tusipende, ile speech ina kasoro na kasoro hizo zinatumika vibaya.

Utamkumbuka wewe,mkeo,familia yako na watu washenzi kama wewe. Sijawahi wala sintakuja kumuelewa huyu rais wako,anafanya mambo ya ajabu ajabu tu,bora akaongoze Tz mtoto aliyemaliza 4m 4 shule ya kata kuliko huyo check ndugu yenu.f.kabisa.
Kihistoria taasisi ya urais Tanzania inaheshimika sana. Ukiangalia utawala wa Nyerere, Mwinyi kidogo pamoja na kwamba aliichezea sana taasisi lakini Mkapa alirudisha heshima. Ukweli JK ameifanya taasisi ya urais imekuwa tu kama manager wa bendi fulani.
Nimesikitishwa na kitendo cha Clouds kumtumia JK kutangaza biashara yao. Wanaweka sauti ya JK ikiisifu Clouds kama sehemu ya tangazo la biashara kuitangaza Clouds na kiukweli kiitifika hawapaswi kufanya hivyo. Hivi itakuwaje leo Rais akitumika kutangaza Coca Cola au Azam Cola? Naiomba serikali ijue urais ni taasisi si mtu hivyo vitendo vya kudhalilisha taasisi yetu vikome mara moja. Kama JK anataka kutangaza biashara asubiri amalize kipindi chake cha urais.
Watu kama wewe mtasababisha JF ionekane haina tofauti na genge la wahuni siku si nyingi. Watu mnachangia kipuuzi kitu ambacho hamjakisikia. Hivi Clouds walichofanya ni kuchukua sauti iliyotokana na speech yake alipoalikwa kuwa mgeni rasmi kwenye semina ya Fursa. Nashangaa wenyewe mawazo na mtazamo hasi dhidi ya JK na Clouds mnasema amefanya tangazo. Kwanini msijadili yanayojiri kwenye saccos yenu ya Kaskazini.
Siandiki sana, ila tambuen kumuita mh Rais kwenye fursa sio ndio kukamata fursa ya taasisi yake nakufanya ikulu ipige debe kwa clouds. Sii kweli nyie ndio station bora kupita tbc1, tena kama nistation ya vijana chanel 5 inatisha. Akuna kijana either wajana leo na kesho haijuw chanel 5, tena imewatoa wengi sana. Tena hakuna station imewatoa vijana weng wanajulikana leo kama chanel 5. Mbona wenzenu hawajigambi hawadharau wala hawana masham sham kama yenu. Polen sana. Heshima kidogo kwa rais wetu. Msi bip vyombo vya usalama.
Uwezo wa kufikiri unamtegemea Dr Slaa anachosema na asiposema yeye huwezi kufikiri. Chadema family
Ni kweli kabisa, lakini kwa nini kila wanachofanya clouds fm kionekane kibaya?!!
kwani imekuwaje?