ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 8,644
- 7,304
Lala mlango wazi kijana kama uogopiMwanaume gani unaogopa wanaume wenzako..!!
Lala mlango wazi kijana kama uogopiMwanaume gani unaogopa wanaume wenzako..!!
Clouds wameishiwa pumziNaona umeamua kujitekenya
hata Drake ni mmarekani mweusi hivyo ana damu ya Kiafrika huenda mababu zake walitokea TandahimbaDrake tena mkuu? Fiesta ni 100% wasanii wa nyumbani.
WASAFI CHAMA LAO,BALAAAZITOTarehe 8 taifa uje
Usiogope wahuni
Kwanza Drake sio mmarekani, ni mcanada. Pili, linapokuja swala la hela huwezi mleta bure eti kisa kwao ni Tandahimba.hata Drake ni mmarekani mweusi hivyo ana damu ya Kiafrika huenda mababu zake walitokea Tandahimba
Siwezi kuja kwa kingilio cha bukubuku,maana yake itakuwa show ya kiuni na social crimes kama wizi,umalaya,ubakaji utashamili akili zako ndogo nenda shule ukapige desa kaka mdogo.Tarehe 8 taifa uje
Usiogope wahuni
Dar es salaam ina karibu watu mil 5 na ushee,wewe hata usipokuja haitaathiri chochote,sisi tunaenda kula burudaaani kutoka kwa wataalamu wa burudani TanzaniaSiwezi kuja kwa kingilio cha bukubuku,maana yake itakuwa show ya kiuni na social crimes kama wizi,umalaya,ubakaji utashamili akili zako ndogo nenda shule ukapige desa kaka mdogo.
Dar es salaam ina karibu watu mil 5 na ushee,wewe hata usipokuja haitaathiri chochote,sisi tunaenda kula burudaaani kutoka kwa wataalamu wa burudani Tanzania
Inakuuma wapi mzee!!Sema pimbi mmoja anaenda ibia mapimbi wenzake ila sio kusema sisi sema kwa nafsi yako choko wewe
Hatuwezi kwenda kuwaangalia wasanii wa buku3.Inakuuma wapi mzee!!
Sawa MchomvuInakuuma wapi mzee!!
Labda wa tandale huko wakabaji na walevi but watu smart hapo is nothing kaka okDar es salaam ina karibu watu mil 5 na ushee,wewe hata usipokuja haitaathiri chochote,sisi tunaenda kula burudaaani kutoka kwa wataalamu wa burudani Tanzania
Yaan mtu utoke Mbezi, kimara, mikocheni, msasani, masaki, tabata n.k kwenda taifa kuangalia show ya 3000?wahuni wa keko na TMK wanapelekewa kitoweo.
ONYO: Mabishoo wote acheni hizo Iphone XR mahali mlipolipia kodi ya pango. Lawam hatutaki sisi, hapa kazi tu mwendo wa Ndolema!
taifa videm vitapigwa pumba na kukabwa raia balaaFiesta watajaa watu wa huko huko temeke. Leaders tu watu walikua wanakabwa wanaporwa na hata kubakwa huko taifa sipati picha.
hahaa masela wa temeke wakilipa buku3 wakikaba mtu mmoja hela inarudi na faida juuKiingilio tu kimenifanya nisiende yani buku3 masela was tmk wrote watakuwepo.
Naona msela wa tmk umemaind
Sure mkuu yani mtu smart utoke mbezi au tabata uende kwenye kigodoro Uhuru stadium?Labda wa tandale huko wakabaji na walevi but watu smart hapo is nothing kaka ok
Nimeifuma comment yako leo
Heshima yako!!