Clouds Tigo Fiesta kukiwasha Taifa

Buku tatu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]daaah hata disko zetu za uswazi kiingilio ni 5000 kwenda juu
 
Tunaojua biashara hatushangai,mkiwa wafanyabiashara wa aina moja wengi automatically bidhaa hushuka thaman..ila haimaanishi kua bidhaa hyo ni mbivu.

Kinachofanyika ni kucheza na nyakati tu
Fiesta ni biashara ndiyo, ila kulinganiaha na thamani wanayoipa bidhaa yao ni kiashiria wana hali mbaya sana!
 
Show ya wasafi festival waliofanya dar imewapagawisha wakaona wakifanya Bei kubwa hawatapata watu wengi.Fiesta sasa hiv ishakuwa bonaza na wasanii watakaoperform Hilo tamasha washajishusha thamani watakuwa wasanii wa buku tatu.
 
Ni sawa na umepeleka bidhaa mnadani na umekuta bidhaa za Aina yako ni nyingi sana na katika bidhaa zote hapo zako ndio zipo ubora mbovu na unaona kabisa zinaenda kuharibika na kupata loss kubwa na hata nauli ya kurudi nao mzigo home huna,so inabidi uvunje bei ili na Wewe uuze sawa na wenzio mzigo uishe hata kama itakukata potelea mbali hali ni mbaya Levels baby.
 
Tafiti huru zinasema tangu Rais Magufuli kaingia madarakani mfumuko wa Bei umepungua sana hata Tanzania bureau of Statistica wamekiri hilo

Tunamshukuru Rais kwa Fiesta kupunguza bei
 
Nadhani pia wameangalia na kiingilio kiwe kidogo ili watu wajae uwanja wa uhuru..ni bora upate watu 30 kwa elfu 3 kiingilio kuliko watu kumi kwa elfu 5 kiingilio.
 
Wewe ni DJ? Hivi unajua kwamba kipimo cha usalama wangu kwenye starehe ni gharama ya kiingilio? (Mimi binafsi) ninaamini wahuni, vibaka na mateja.. Ukiwawekea kiingilio kidogo, watajaa na kuhatarisha usalama wangu, show Kama Hizo huwa siendi Kabisa.
Usije. Si tutaenda kujumuika na vibaka,kula burudani kutoka kwa wakongwe wa burudani..
 
Lakini na sound mbovu ilikuwa na gharama kubwa na ikajaa full,but ngoja tuone hao wanyonyaji wa mawingu na bukubuku zao kama hata robo watafika WCB chama lao.
Ikajaa full ya wapi!??? Au "full"ina maana nyingine
 
Unajua maana ya sampling dogo !!???
Ngoja tukupe shule
Sampling maana yake unachukua taste (kionjo) ya mziki flani unaiweka ktk mziki wako kwa sehemu ndoooooogo sana,elewa "ndoooooogo sana" kama vile undecided ya chris,hadithi ya kiba,

Sampling sio unachukua beat,melody hadi baadhi ya maneno,yaani hata ile "baba lao" kaichukua kwa naira,ile sio sample,ile ni paste...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…