Clouds Tigo Fiesta kukiwasha Taifa

Kumbe ulienda kuangalia.
acha ujinga dogo,unadhani kila mtu hapa ana ushabiki maandazi kama wewe!!!!

kuna watu walienda wasafi festival wakatoa 50k na fiesta wataenda kama kawaida walipe hiyo buku 5.wewe kaa na ushabiki wako wakufukuzia gari ya mond kutoka airport bila helmet.
 
washapigwa bao haooo... buku3??, nahisi wamefanya hivo ili nao wajaze, dah! mondi wapunguzie kibano waliingia vitani bila kujiandaa hadi wanatia huruma dadek
3000 Γ— 50000 unajua ni hela ngapi bro?

mahesabu ya kibiasharaa si kama kuhesabu kenchi za nyumba baada ya kushinkwa njaa.

bado hujaongeza 5000 za mlangoni.
 
We shabiki KITUMBUA.
Kweli hii JF kama ulimwengu wa kambale,kila mtu dogo haya KAKA KUBWA,ila mwisho wa siku hamna kitachobadilisha nilichokiandika.
 
Mkuu unamanisha fiesta imefungulia matejaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kuna hatar ya watu kurudi home bila boxer huku viti vya taifa vikiwa taaban Kwa kung'olewa 🀣
 
Clouds hawajawahi kubahatisha Tigo Fiesta DSM kufanyika Uwanja wa Taifa tarehe 8. Kiingilio ni sh. 3000 na getini 5000, hiki ni kiingilio cha kimwananchi kabisa.

Ukikosa shauri yako

Clouds FM

Tuonane tarehe 8,

Levels baby
kama msanii mkubwa kutoka Tanzania Diamond platinums hayupo hiyo hata hainogi kabisa

ety wanamsifia alikiba anajua kuimba kuliko wanakwaya wa kwetu pazuri.
 
😝😝😝😝 Simba umewashika pabaya vijuso waso na haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…