Kama JF imekosea YouTube je? Na kama YouTube imekosea huyo aliyeipandisha huko je?
Freedom of mass media lazima uzingatiwe kila upande, nyie mnataka yanayoiumbua serikali yanatangazwe ila ya mipango yenu ya mauaji yafukiwe,subiri watanzania waambiwe ukweli.
Si mnasema watanzania wanajua kuchambua mbivu na mbichi? Iweje hili la mikanda ya video ya kutaka kumuua mhariri kibanda isiwekwe wazi?.
kwahiyo JF kama imekosea, CLOUDS nao wanadandia kosa hilo hilo?.
Hivi ni sahihi CLOUDS FM kuiweka public hii audio?
Freedom of mass media lazima uzingatiwe kila upande, nyie mnataka yanayoiumbua serikali yanatangazwe ila ya mipango yenu ya mauaji yafukiwe,subiri watanzania waambiwe ukweli.
Si mnasema watanzania wanajua kuchambua mbivu na mbichi? Iweje hili la mikanda ya video ya kutaka kumuua mhariri kibanda isiwekwe wazi?.
mbona Riz1 alipokamatwa na madawa kule china CLOUDS hawakutangaza?.
mapenzi na chama yamekuletea upofu, eti CLOUDS wametangaza tu! Watu wengine wabishi aisee. Umekurupuka toka wapi mkuu!Umeuliza
Kitu kinawekwa public mara moja tu.
Kikishawekwa public, yoyote atakayekichukua na kukitangaza tena, hajakiweka public.
Sasa swali lako lilikuwa kama ni sahihi kwa Clouds kuiweka public hii audio.
Jibu lako ni kwamba, Clouds FM hawakuiweka hii audio public, wameitangaza tu.
Ilikuwa public kwenye ma JF na ma Youtube huko watu washaiona tayari.
Kwa hiyo tafuta issue nyingine, si "kuiweka public".
kwahiyo JF kama imekosea, CLOUDS nao wanadandia kosa hilo hilo?.
mlolongo huo wa makosa kuanzia chanzo, U-tube hadi JF hauipi tiketi CLOUDS kujiunga nao!.
mapenzi na chama yamekuletea upofu, eti CLOUDS wametangaza tu! Watu wengine wabishi aisee. Umekurupuka toka wapi mkuu!
Hivi ni sahihi JF kuiweka clip ya lwakatare kwenye internet?
YouTube haiwezi kutambua ubaya wa video inayokuwa uploaded mpaka mtu anayefahamu ubaya huo atoe taarifa.
Mwenye makosa ni yule aliyeiona video hiyo YouTube na kutambua madhara yake, kisha hakutoa taarifa kwa YouTube. Bali yeye akaamua kuipost na kushare na social media na blogs za kibongo. Hapo alionelea kwamba anabreak the news!
Hivi ni kwanini usingependa Watanzania kuona hiyo video au kusikio hiyo audio?
wewe ndiye hoja zako dhalili, hazina mashiko wala mantiki. Yaani unashabikia eti kwasababu JF imekosea basi CLOUDS nao wafuate mkumbo! Nani hapa kichwa nazi?.