Ng'wamapalala
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 6,811
- 6,507
hacha kujifanya chizi...tangu lini ukazuia video youtube??..video ukishaupload huwezi kuizuia..jf wana uwezo gani wa kucontrol youtube??..
Logic za baadhi ya Watanzania zinashangaza sana.
Asante sana Nyani Ngabu. Kuna watu wanakurupuka kuanzisha mada. Kama hawana cha kuandika, wanyamaze kimya. Watulie kabisa. Wasome michango ya wengine.
hapo ndio ushabiki wa kibonde unadhihirika wazi wazi
omba radhi kuwaita watanzania mburula.Kwa hl la Lwakatare Chadema mmeshikwa vibaya kwn tatizo lililopo ni Watz wengi mamburula hivyo ukijumlisha na propaganda za media kuaminika ni very easy. Anyway hebu tuwe na subira tuone mwisho wake nn! Ila hii ishu nzito kueleweka kirahisi rahisi tu.
yaan hata hujui...ni jf au goutube?..km hujui video ukisha upload huwezi kuizuia mana kila mtu anakuwa na acces nayo..ungemlaumu aliyeupload...ni makosa kwa clouds kucheza video kwa kisingizio eti iko youtube..nia ni kuchafua si kutoa habari na kujenga chuki dhidi ya anayetuhumiwa...
Mashoga hao tunaishi nao mjini!
Wewe Nyani piga uwa utakuwa Ruge...
wasipofanya hivyo hawatapata ruzuku mkuu...acha tulisongeshe wakiamka tupo magogoni...twende kamanda
Kibonde ndio nini au mboga ya majani au?
Hivi ni sahihi JF kuiweka clip ya lwakatare kwenye internet?