Mjukuu wa Sechenga
Member
- Nov 13, 2015
- 34
- 37
E fm ni mpya ila watangazaji wa zamani na wakongwe. Hujafikiri vizuri wenzio tumeanza kumsikia kitenge tangu mwaka 2000.
Umenena vyemaNashukuru Kwa Kumfagilia Jeff Lea Na Kwa Kupoteza Nguvu Zako Nyingi Kuandika Wakati Mada Iliyopo Mezani Ni Ya Clouds FM Na E FM Ila Hiyo Ya Kuhusu Jeff Lea Wako Unaweza Tu Na Wewe Ukamwanzishia UZI Wake MAALUM Na Tunaojua Strength Na Weakness Yake " Tutatiririka " Vile Vile.
Kama humjui mtoa mada yeye anajua kila kitu na kila mtuHapo kwa dina n uongo,na usimchafue mdada wa watu aisee,dina hajawah kuwa na mauhusiano na ruge kabisa,kama hujui kitu bora uulize,dina alkua natoka na reuben ndege na ndo mzazi mwenzie.
Mtoa mada ana sifa ya uchonganishiHATA Ww Mkuu Hayo Baadhi Ya Maneno Yako Yana Harufu Ya SHOMBO La SAMAKI!!! NAYO Ni Chanzo Cha CHUKI, Sasa Unapojaribu Kuwanyooshea Vidole Wao, Nawe Kwako Jitafakari!!!
Hivi wewe uliwahi kuugua ugonjwa wa kichaa?Ili Uone Kwamba BIFU Hili Sasa Linaelekea Pabaya Hawa WATANGAZAJI Wote Wakiwa Off Air Hupigana Madongo Ya UKWELI UKWELI Kwa Mfano Upande Mmoja Unaushutumu Mwingine Kuwa Kuna Mtangazaji Mmoja Ni " MWIBA MCHICHA " Huku Upande Wa Pili Nao Ukiushutumu Mwingine Kuwa Kuna Mtangazaji Mmoja Ni Mpigaji Maarufu Wa Gitaa La Solo La " Dally Kimoko ".
Yaani ni kweli hao kina dada wana ugomv kisa Bosi Kiwembeh?Bora umeniita..
Hivi GENTAMYCINE wewe wa kuanzisha uzi usiniite?
BTW acha utani bwana,ina maana hujamjua boss kiwembe hadi sasa?
Ngoma AKA NgwengweUmekosea Kabisa Mkuu Na Kama Ni Safari Basi Sisi Tunaelekea Kigoma Wewe Unataka Kutupeleka " Kisiju " Naona Mnazidi Tu Kupata Shida Hivyo Ngoja Niwafumbieni Tena Na Kama Hapa Msipoelewa au Kung'amua Kitu Basi Hakika Sasa Mtakuwa Ni MAPOPOMA Kweli Na Msinisumbue Tena Kuniuliza Sawa? Tafuteni Gari Zote Za Ubalozini Kisha Angalieni Zile Herufu Zake Za Katikati Ambazo Huwa Ni Mbili Tu Kisha Ongeza Mbele Namba Nne ( 4 ) Halafu " Jiongezeni ". Sitaki Tena Swali Juu Ya Maana Ya " Dally Kimoko " Ukiweza Kulifumbua Hilo FUMBO TAKATIFU Hapo Wewe " JINIASI " Na Tutakuwa Pamoja.
Yaani ni kweli hao kina dada wana ugomv kisa Bosi Kiwembeh?Bora umeniita..
Hivi GENTAMYCINE wewe wa kuanzisha uzi usiniite?
BTW acha utani bwana,ina maana hujamjua boss kiwembe hadi sasa?
Inasemekana.....Yaani ni kweli hao kina dada wana ugomv kisa Bosi Kiwembeh?
Mtoa mada ana sifa ya uchonganishi
Hahahahaa naona mnamchokoza rafiki yangu kipenzi POPOMA,na naona kishaingia na kanzu nyingine ila Sheikh ni yuleyule.Hivi wewe uliwahi kuugua ugonjwa wa kichaa?
Hameni Porini HukoHuku kanda ya nyonyo E FM haijafika naitamani kweli
Wewe Bila Shaka Ni MGENI Mtaa Huu?Hivi wewe uliwahi kuugua ugonjwa wa kichaa?
Anabahatisha Bahatisha kiasiKama humjui mtoa mada yeye anajua kila kitu na kila mtu