Clouds FM na E FM katika bifu zito na la hatari

Clouds FM na E FM katika bifu zito na la hatari

Dina Marios na Zamaradi hawajagomea bwana (mkurugenzi kiwembe) Dina anarelationship na Reuben Ndege miaka 10 sasa na uhusiano unajulikana kila mtu anajua mpaka Ndege ameondoka pale, sasa wana mtoto
Bahati mbaya mtoa mada yeye ni mjuaji wa kila kitu na kila mtu...
 
kutokana na maelezo yako, mm cjaona bifu bali naona watangazaji wakisutana umbeya
 
Radio mama ni radio one na TV mama ni ITV basi ila kwa sasa nasikiliza zaidi E.FM michezo na vipindi vyao vingine clouds fm nasikiliza michezo jumapili SAA 7 tu na njia panda baasi
 
Hivi haea clouds wana akili kweli..? Yani wanajifanya matabgazo yote na kila aina ya msemo wa kimichezo ni vyao, watuoneshe ni wapi waliifanyia patent hiyo kampa kampa tena..? Vilaza wakubwa
 
Ila Kinachonisikitisha Ni Huu Uwongo Wa Maulid Kitenge Kuwa Hilo Neno La " KAMPA KAMPA TENA " Wao E FM Ndiyo Wamelianzisha ILA Kwa Kuwa Mimi SIPENDI UNAFIKI Na UWONGO Niseme Tu UKWELI Kuwa Aliyekuwa Wa Kwanza Kulianzisha Hilo Neno Hadi Sasa LIMESHIKA Kasi Mpaka Linatumika Sasa Na Watangazaji Wa Michezo Wa Vyombo Vingine Ni Mtangazaji MTUMBUIZAJI Mbwiga Mbwiguke Na Ningemwona Maulid Kitenge Na Wenzake Wa E FM Badala Ya Kufanya MZAHA Nalo Basi Wangekiri tu Japo Kimoyomoyo Kuwa Wamelichukua Kama Siyo Kuliiga Kutoka Kwa Mbwiga Mbwiguke. Kitaaluma Kufanya " Acknowledgement " Siyo KOSA Wala Hakuna AIBU Ila Kujifanya Kuwa Wewe Ndiyo Mwenye Hilo Jambo au Neno Wakati Siyo Kweli Ndiko KUJISHUSHIA HESHIMA Na KUDHARAULIKA Na Wanaojua.


Naomba hapa shule itumike huku kubwabwaja huku mkuache jamani, unajua kitu kinaitwa patent...? Njoo PM nikupe shule najua baada ya hapa hutopiga kelele tena
 
Ila Mbwiga na Kitenge wana kitu kimoja kinafanana, wote KUALA LUMPA, na baada ya mechi jmosi ni Shaffih na Masoud ndo watakuwa na kicheko.
 
Vizuri Sana Kumbe Hata Wewe UMELIONA Hili. Upo Sahihi 100%! Hili BIFU Lisipotafutiwa Dawa Mapema TUTEGEMEENI Siku Moja Kuyasikia Yale MATUSI Yetu Ya Kibaiolojia HEWANI. Ila Mpenda CHOKOCHOKO MKUU NI Ibrahim Masoud " Maestro " Ambaye Tokea Akiwa Hapo Clouds Media Group Na Kule Klabuni Simba Sports Club Alikuwa Ni MTU WA KUJIKWEZA, DHARAU Na Ana Tabia Moja Mbaya Sana Ya Kupenda KUABUDIWA Kama Siyo KUNYENYEKEWA Lakini Pia Ni Mtu Mzuri Sana Na Wa KUTUKUKA Wa Kamati Zetu Zile Za UFUNDI Tunazoziona Katika Vilabu Vyetu Hivi Vikubwa Viwili ( Kupiga KIPAPAI Wenzake au HOLA HOLA ) Ili Aonekane Yeye Tu Na Aliposhtukiwa Na Wenzake Wa CLOUDS FM Kwa Hiyo Tabia WAKAANZA KUMTENGA Ila Kiboko Yake Ni Kwa Maulid Kitenge Ambaye Jamaa Kila Akimpiga KIPAPAI Kitenge Anakuta Mwenzake KESHAOGA MAJI YA BAHARI Muda Mrefu Sana. Hii FILAMU Naiona Kabisa Inapoenda Na Itakapoishia! TCRA Ingilieni Kati Kwani Hata Kipindi Cha Clouds FM Cha Saa 4 Hadi Saa 7 Kinachorushwa Sasa Na Maadui Zake Dina Marios Na Cha E FM Cha Saa 6 Hadi Saa 9 Mkivisikiliza Ni FULL MIPASHO, VIJEMBE Na MAJUNGU Tena Ya Wazi Wazi. Ni Hatari!
Nahisi unamlalia sana Maestro....mwanzilishi wa msemo hug ni Edo Kumwembe...fuatilia post zake Facebook mkuu!! Hata hao Clouds sio waanzilishi
 
Km unafuatilizia vzr chambuzi za michezo hasa mechi ikiwa inachezwa utaonj kabisa kina daudi hawapo vzr kulinganisha na wengine kwangu mm geofrey lea iz da best then 2tofautishe mchambuzi wa mpira mtangazaji na m2 wa kucheza na habari za mitandao...nawasilisha
Lea na mayai ndo wamo vizur
 
Hapo kwa dina n uongo,na usimchafue mdada wa watu aisee,dina hajawah kuwa na mauhusiano na ruge kabisa,kama hujui kitu bora uulize,dina alkua natoka na reuben ndege na ndo mzazi mwenzie.
 
Uwepo Wa Ibrahim Masoud " Maestro " Na Mwenzie Dina Marios Huko E FM Ndiyo KICHOCHEO Kikubwa Cha Yote Haya Kwani WATANGAZAJI Hawa HAWAJAONDOKA Vizuri Clouds Media Group Huku Maestro Akiendeleza CHUKI Zake ALIZOKUWA NAZO DHIDI YA Mbwiga Mbwiguke Na Mtangazaji Mwenzie Shaffi Dauda Huku Mwanadada Dina Akiendeleza Chuki Zake Kwa Bosi Na Hawara Yake ( Bosi KIWEMBE ) Juu Ya KUMTHAMINI Sana Mwanadada Mbau Mbau Wa KIHA Aliyeonekana KUMSHIKA Vilivyo Bosi KIWEMBE Na Sasa Kamzalia Mtoto Wa Pili Hadi Bosi KIWEMBE Sasa Anakaribia Kumuachia MAJUKUMU Mengine Mrembo Mtangazaji " Mbau Mbau ". Hii VITA SI YA KITOTO Na Ni Bonge La FILAMU!
HATA Ww Mkuu Hayo Baadhi Ya Maneno Yako Yana Harufu Ya SHOMBO La SAMAKI!!! NAYO Ni Chanzo Cha CHUKI, Sasa Unapojaribu Kuwanyooshea Vidole Wao, Nawe Kwako Jitafakari!!!
 
Simpendi ruge ila kwa uwezo wa akili sidhan majizzo km atamuweza yeye anakusanya tu masupastaa ila ruge yuko vizur
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom