Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,296
Pamoja ndugu penye ukweli lazima watu tuseme.Akhsante Na Shikamoo Mkuu.
Pamoja ndugu penye ukweli lazima watu tuseme.Akhsante Na Shikamoo Mkuu.
Usiogope ntagharamia kila kitu ili ukapimwe akili yako na upewe Tina ya sindano za kudungwa kwenye kichwa chako,,maana nafuatilia topic zako nyingi umu huwa utaki kuulizwa swali,na Mara nyingi Una majibu km MTU anaekaribia kupatwa na uchizi(madman)__
bora usifahamu kabisa maana mm mwenyewe sijui kabisa na wala sio msikilizaji wa hizo redio bora nichat jf kuliko kusikiliza radio hizo za vijembe na mipashoMliosoma mnaweza kunisaidia samare........?......napenda kuujua huu mtanange........
Hivi Dina Marios si alikuwa mzazi mwenzie Dr Ndege kabla hawajaondoka Clouds Fm?
unajua shaffii kazunguka sana hii dunia na anavyoongea anaonyesha ni mtu mwenye uelewa mkubwa. sasa uswahili anatoa wapi? au mbwiga anamuambukiza?Ila Ibrahim Masoud " Maestro " Bingwa Wa MAJUNGU, FITINA Na Mambo Ya HOLA HOLA Kwa Watangazaji Wenzie Unamuheshimu? au Ndiyo Wewe Ndiye Mwenyewe Hivyo " Jiwe Limemlenga Mlengwa? ".
Daaah!! Kumbe Mbwiga Ana Mambo Ya Kitoto Hivi..Ungekuwa Ni Ushindani Mbwiga Angekuwa Anamcheka Ibrahim Masoud " Maestro " Kuwa Kafanya Kazi Clouds Media Kwa Zaidi Hata Ya Miaka 12 Lakini Kaja KUNUNUA Gari Baada Ya Miaka 8 Kazini Wakati Yeye Mbwiga Mbwiguke Kafanya Kazi Sasa Ni Mwaka 1 Tu Tayari Ana GARI? Mkuu Labda Nikuambie Tu YANAYOENDELEA Baina Ya Hawa WATANGAZAJI WA MICHEZO WA HIZI REDIO MBILI Ni MAKUBWA Na Narudia Tena Kama WASIPOKALISHWA Chini Na KUONYWA au KUREKEBISHWA Naiona Hatari Na Watafika Pabaya.
, Basiii....Nimemshusha!! kuwah Kununua Gar Au Kuchelewa, Ailetii Maana!! Tunaishi Kwa Mipango.Jeff Lea kashasepa yupo azam, clouds hamna kitu ktk uchambuzi kazi kubeba vitu goal.com kule e.FM maestro yupo vizuri na yule Oscar Oscar ni hatari kwny michezo wamepigwa gap cloudsKm unafuatilizia vzr chambuzi za michezo hasa mechi ikiwa inachezwa utaonj kabisa kina daudi hawapo vzr kulinganisha na wengine kwangu mm geofrey lea iz da best then 2tofautishe mchambuzi wa mpira mtangazaji na m2 wa kucheza na habari za mitandao...nawasilisha
Acha KEJELI Na SANIFU Za Kirejareja. Ungesoma Journalism au Ungekuwa Ni Mbobezi ULIYETUKUKA Hasa Kwa Masuala Ya Communication Usingebeza Nilichokiweka Hapo. Maelezo Yako Yanaakisi UNAFIKI Wako. Wewe Huyo Huyo Unasema Waliosoma Wakupe Summary Halafu Wewe Tena Unasema Unataka Kuujua Huu Mtanange.
Wapo watangazaji waliohama toka Clouds na kwenda EFM, baada ya hapo kumefuatia vijembe vya hadharani, yaani wakati vipindi vikiendelea, wanarushiana madongo hewani.
eti dina mario kaachwa ba boss wake kiwembe .. na bosi kiwembe yupo nazamaradi ..mi hilo ndiyo linanihusu umbea wa siku huu
bora usifahamu kabisa maana mm mwenyewe sijui kabisa na wala sio msikilizaji wa hizo redio bora nichat jf kuliko kusikiliza radio hizo za vijembe na mipasho
sema kuhusu huu utakao endana nasi hawajaupika vyema nataka nikaufkunyue mwenyeweHebu fanya ufahamu.......jinsi miss chagga alivyonisamaraizia.......nadhani kuna ubuyu wa vimto hapo kati.......
sasa kwa hiyo wanabifu sasa dina kaamia EFM na zamaradi yupo clous wanapigana vijembe live live redioni .. khe h ehehe eti kisa bosi kiwembe ,.. ngoja nianze kusikiliza kote kote niupate vyemaHapo ndio penye point.......tungeanzia hapo hapo.......
Kusema ukweli E-Fm ni radio yenye nguvu kama ilivyo Clouds Fm na huko mikoani ni kwa sababu bado hawapewa frequence lakini watu wa Dar wanajua nguvu ya E -Fm..Clouds kuwa na beef na hao efm ni uboya cuz ni ka redio ka juzi(although ni kali) lakini huku mikoani hakuna kitu na it will take time kukamata wasikilizaji wa mikoani..so CLOIDS bado iko juu...na hao watangazaji wa kiume waache UBOYA wa kurushiana maneno ya kikekike..
Kiukweli hata Mimi clouds fm wamenishangazaKusema ukweli E-Fm ni radio yenye nguvu kama ilivyo Clouds Fm na huko mikoani ni kwa sababu bado hawapewa frequence lakini watu wa Dar wanajua nguvu ya E -Fm..
Na hakika E-FM ndio baba wa habari za michezo hakika wako vizuri Clouds hawagusi!
Ni aibu watu kuanza kugombea neno ambalo kimsingi hakuna mwenye hati miliki! Ni utoto kusema maneno yako yanatumiwa na hii ni ishara ya kuzidiwa...labda mmoja wao athibitishe amelikwenda COSOTA kupata hati miliki ya neno kampa na kampa tena..!
Huu ni utoto kabisa....