Clouds FM na E FM katika bifu zito na la hatari

Hahahahahaa mimi kila akitaja hilo gitaa la dali kimoko sina mbavu.
Nashangaa leo hajasema kuhusu Magomeni kwa macheni.....
Maana hayo mawili huyataja sambamba.
hahahahana
Huyu jamaa akisema jambo kuhusu mtu kama ni mgeni jukwaani unaweza kuamini moja kwa moja maana ana report utafikiri yuko fiel vile.....
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida imegundulika ya kwamba vituo viwili vya redio hapa nchini Tanzania na ambavyo vimejizolea umaarufu mkubwa sana kwa wasikilizaji huku vikiwa vinafanya vizuri vya E-FM na Clouds FM vimejikuta vikiingia katika vita kali a.k.a bifu zito ambalo kwa dalili zinazoonekana kama mamlaka husika hawataingilia kati uadui wao huu utafika pabaya.

Chanzo cha bifu cha awali
Mara baada ya mtangazaji wa michezo Ibrahim Masoud " Maestro " kuhitilifiana na wenzake hasa hasa na mtangazaji mtumbuizaji Mbwiga Mbwiguke na baadae Alex Luambano kwa tabia za Ibrahim Masoud kuwadharau na kuwadhulumu wenzake katika mambo kadha wa kadha ilipelekea mtangazaji huyo " Maestro " kukosa ushirikiano hali iliyopelekea kuanza kutafuta ajira mahala pengine kisha ndipo akapata kazi E FM.

Bifu la pili
Mara baada ya kuwepo kwa bifu kali na zito la watangazaji wawili wa kike Dina Marios na Zamaradi Mketema juu ya mume mmoja waliyekuwa wanamgombania hapo Clouds media ila sasa zamaradi kaonekana kakamatia ( jina nalihifadhi ila nadhani wote mnamjua huyo bosi kiwembe) ambapo huyo bosi alionekana wazi kumpenda zamaradi mketema huku akimfanyia mambo makubwa mazuri na ya kimaendeleo na kuachana na Dina Marios ilipelekea wawili hawa kuwa na uadui uliotukuka hadi dina marios alipoona hatakiwi na hathaminiwi na bosi kiwembe wa Clouds Media Group na kuamua kutafuta kazi na kubahatika kupata ajira mpya redio ya E FM na sasa anafanya vizuri.

Bifu la tatu
Hakuna asiyejua kuwa watangazaji Maulid Kitenge (sasa ni mkuu wa idara ya michezo E FM) na Shaffi Dauda (sasa ni meneja vipindi Clouds Media Group ) wana bifu kali na zito ambalo lilianzia kipindi kile cha iliyokuwa kamati ya saidia Taifa Stars ambapo baadae tukafungwa goli zetu saba (7 ) nzuri tu huko kwa Waarabu.

Ikumbukwe kuwa katika kamati hiyo waliteuliwa waandishi wa za michezo magwiji hapa tanzania Saleh Ally, Mahmoud Zubeiry, Maulid Kitenge na Shaffi Dauda waongoze kamati ndogo ya uhamasishaji ambapo shaffi dauda wazi wazi alijitokeza na kusema kuwa hawezi kuwepo humo kwakuwa watu aliokuwa nao wapo wasiojua mpira hasa mambo mazima ya kimkakati hivyo akaamua kujitoa ila maulid kitenge alijisikia vibaya na kudai kuwa katukanwa kisaikolojia na Shaffi Dauda kuwa yeye hajasoma bali anaishi tu kiujanja unjanja na hicho kipaji cha utangazaji. Hadi hivi ninavyoandika uzi huu Shaffi Dauda na Maulid Kitenge ni sawa sawa na wanamgambo wa al - shabaab na nchi ya kenya (nikimaanisha wana uhasama mkubwa mno).

Bifu la nne na ambalo ndilo la hatari zaidi
Tokea mtangazaji mtumbuizaji Mbwiga Mbwiguke akubalike ( nikiri hata mimi namkubali kunakotukuka) na wasikilizaji kutokana na vionjo vyake ambavyo vinanogesha kipindi cha michezo cha Clouds Fm imesababisha hadi waandishi wengine wa habari za michezo na hata wananchi pia waanze kuyatumia hayo maneno ya Mbwiga kama neno la "figisu figisu" na yameshika mno.

Kuna neno moja ambalo Mbwiga Mbwiguke anapenda kulitumia la "kampa, kampa tena " linalomaanisha kuwa wachezaji wanapigiana pasi sana. Katika kuelekea katika mpambano wa Dar es salaam derby au ilala derby au wakongwe wasio na maendeleo derby au wasanii derby la Simba na Yanga mtangazaji muongozaji wa E FM Maulid Kitenge amekuwa akilitumia sana na hasa anapokuwa anatangaza habari ihusuyo timu ya simba ambao kiuhalisia ndiyo hucheza hivyo.

Katika hali isiyokuwa ya kawaida jana usiku katika kipindi cha michezo cha Clouds FM mtangazaji na mchambuzi mahiri wa michezo shafii dauda alisikika akisema tena kwa hasira na vijembe kuwa kuna watu wapuuzi tu wanatoka huko walikotoka wanatumia hilo neno la "kampa kampa tena" ndivyo sivyo na wanadandia tu ndipo akaibuka mwenye neno mtangazaji mtumbuizaji Mbwiga Mbwiguke na kusema kwa madoido yake kuwa watu waache kusafiria nyota za wenzao na kwamba hawatamuweza ng'o na wakae wakijua kuwa hapa nchini Tanzania redio mama kwa mambo yahusuyo michezo ni Clouds Fm tu lakini baadae wakapotezea na kuendelea na taarifa zingine za michezo.

Tukio linaloendelea sasa hivi E-FM
Sasa hivi katika kipindi cha sports headquarters ambacho kipo hewani wakati Maulid Kitenge anatangaza akalisema tena hilo neno la "kampa kampa tena" ndipo akaibuka mtangazaji mwenzie Ibrahim Masoud " Maestro " na kusema kwa kukejeli na sanifu kuwa wamekatazwa kulitumia hilo neno, (ila hakusema na nani ila wafuatiliaji wa redio hasa vipindi vya michezo tukaelewa anamlenga nani) ndipo Maulid Kitenge akadakia na kusema maneno haya ninayoyanukuu, "Aaaaaaagh achaneni nao hao watoto wadogo wanaoanza kazi leo sisi wenzao sasa treni ipo katika mwendo" hali iliyopelekea watangazaji wenzao wote waliopo sasa kipindini kumuiga Kitenge na sasa kila mara wanapiga tu vijembe na mlio na redio zenu kisikilizeni hicho kipindi msikie vijembe.

Hofu yangu
Kama hali hii haitadhibitiwa haraka na TCRA au na wamiliki wa hivi vyombo viwili vya redio kuna uwezekano hili bifu likazidi na pia likaathiri kabisa tasnia nzima ya uandishi wa habari hasa hii ya utangazaji kwani kiuhalisia wote wanaenda kinyume kabisa na ueledi wa masuala mazima ya utangazaji.

Hata hivyo niseme tu kwa E FM kuwa ni kweli wamekuja vizuri katika ushindani ila wakatae wakubali bado watabaki kuwa ni wachanga na wana mengi ya kujifunza kutoka kwa Clouds Fm na hili halina ubishi labda uwe ni popoma uliyetukuka, ila na nyie Clouds Fm msitumie ukongwe wenu katika kuwadharau au kuwadidimiza E FM kwani hata nyie pia naamini mna vitu vya kujifunza kama siyo kuiga kutoka kwao.

Binafsi nawapenda wote Clouds Fm na E FM ila mkiendelea na huu upopoma wenu wa kitaaluma mtanikosa kama msikilizaji wenu mkuu niliyetukuka wa michezo.

Acheni ushamba na utoto wenu huu jirekebisheni kukiwa bado mapema.
Kama Shafie Dauda kasoma basi hata Mbwiga naye kasoma,nina mashaka na usomi wa Dauda au kwa kuwa anaongea kithungucha kuunga unga utadhani nazi koroma.
 
Hakuna bifu hapo ila inaonekana una mapenzi WiFi na clouds FM.
Ukweli ni kwamba clouds wasipokuwa makini ktk vipindi vya Michezo E FM watawa ground mazima. E Fm wapo moto sana hata mm nilishasahau hata vipindi vya clouds vikoje. E Fm now mpango mzima speed 200

Akili ya mjinga hujadili watu
 
Akili ya mjinga hujadili watu

Hata Aliyekuzaa " ALINIJADILI " Mno Hadi " AKAJIPENDEKEZA " Kwangu Nikampa Mimba Na Ndipo Ukazaliwa Wewe. Uwepo Wako Humu Unathibitisha Ushindi Wa Lile " Goli " Kuwa Kumbe Halikupotea Bure.
 
watu wengi amuipendi Clouds nikiwemo mimi ila kiukweli hawa jamaa hakuna zaidi yao ...kuanzia vipindi matamasha yaani labda upande wa tv tu
 
Mimi nilikuwa mpenz wa clouds fm ila nimehamia e fm.... Clouds hawana mvuto

Usipoipenda Clouds FM au Clouds Tv Lazima Tu Utakuwa Na " Utitiri " Wa FUNZA Kichwani. Mtoto Wa Mjini Yoyote Lazima Awe Mshabiki Wa Clouds FM Na TV Ila Kwa MLUGALUGA Lazima Atakuwa Mwana " K Net " Building. Kituo Gani Cha Redio Ikija Mvua Watangazaji Wanaloana Na Inabidi Watangaze Huku Wanajikinga Na Miamvuli? Mimi Na Clouds Media Group Ni Sawa Sawa Na Bikira Maria Na Yesu Kristo Na Hao " MALOFA " Wenu Siwafagilii Kwakuwa 98% Yao Ni Wana Yanga Watupu Na Hakuna Timu NISIYOIPENDA DUNIANI Kama Yanga Football Club.
 
watu wengi amuipendi Clouds nikiwemo mimi ila kiukweli hawa jamaa hakuna zaidi yao ...kuanzia vipindi matamasha yaani labda upande wa tv tu

Mimi NAICHUKIA Hiyo Redio Iliyopo Jengo La K Net Kwakuwa Ina Uyanga Uyanga Mtupu Na Naipenda Clouds FM Na Tv Kwakuwa Ni Ya Wana Simba Sports Club Tupu. Ingekuwa Ni AMRI Yangu Hata Hii Klabu Ya Yanga NINGEIFUTILIA Mbali!
 
We mtoa post unaonekana shabiki wa clouds fm.. make maelezo yako bado yameegamia upande m1.. na mbona hujafafanua vizuri clouds walichomfanyia dina marious na yote aliyowafanyia..
Kiufupi clouds fm wamepata mbabe wao.. wanatapatapa.. E-FM ndo habari ya mjini kwa sasa.. muziki unaongea...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom