Clouds FM na E FM katika bifu zito na la hatari

Clouds FM na E FM katika bifu zito na la hatari

AAH! KWANI BEI GANI!? MABOGAS MSIOELEWA!, MCHICHA MWIBA NI MWANAMME MWENYE MKE NA BADO ANAGEGEDULIWA!, DALIKI MOKO NI CD+ NAMBA 4!. GARI YA UBALOZI HII!. RADIO YA WA.....88.( )JINA LAKE LINAFANANA NA MAWINGU(KIINGEREZA) BOSS KICHECHE KUTOKA KAIZIREGE SEC SHULE ILIYOONGOZA MATOKEO YA FORM 4 TZ. MNAMJUA ALIEGAWA HELA STANBIC?! ESCROW JINA LINAANZA NA R?! NAHISI JINA LAKE KAMA SI MTU WA MIRABAHA! BASI LINAANZA NA "R"!
 
Ungekuwa Ni Ushindani Mbwiga Angekuwa Anamcheka Ibrahim Masoud " Maestro " Kuwa Kafanya Kazi Clouds Media Kwa Zaidi Hata Ya Miaka 12 Lakini Kaja KUNUNUA Gari Baada Ya Miaka 8 Kazini Wakati Yeye Mbwiga Mbwiguke Kafanya Kazi Sasa Ni Mwaka 1 Tu Tayari Ana GARI? Mkuu Labda Nikuambie Tu YANAYOENDELEA Baina Ya Hawa WATANGAZAJI WA MICHEZO WA HIZI REDIO MBILI Ni MAKUBWA Na Narudia Tena Kama WASIPOKALISHWA Chini Na KUONYWA au KUREKEBISHWA Naiona Hatari Na Watafika Pabaya.
Ukistaajabu ya Zembwela utayaona ya Mbwiga"
 
MKUU, MCHICHA MWIBA, NI KITENGE CHA KUTOKA KONGO! PIA HICHI NI KITENGE CHA MAAJABU! TENA CHA BEI RAHISI! UKIKISHIKISHA MIKE REDIONI, KAZI NA DAWA, NA HASA KIKIWA KWENYE KITUO KIPYA! E.00FEEME! TOA HERUFI 3 TOKA E!, GENTAMYCINE MALIZIA KAMA BADO HUYU HAJAELEWA, MCHICHA MWIBAAAA!
Mkuu mchcha mwiba unaeleweka mbna
 
MKUU, MCHICHA MWIBA, NI KITENGE CHA KUTOKA KONGO! PIA HICHI NI KITENGE CHA MAAJABU! TENA CHA BEI RAHISI! UKIKISHIKISHA MIKE REDIONI, KAZI NA DAWA, NA HASA KIKIWA KWENYE KITUO KIPYA! E.00FEEME! TOA HERUFI 3 TOKA E!, GENTAMYCINE MALIZIA KAMA BADO HUYU HAJAELEWA, MCHICHA MWIBAAAA!
Nmekuelewa Mkuu
 
E Fm mpo juu clouds raduo ya chama tuliachana nayo siku nyingi...Oscar oscar nakukubali!....Maestro pia
 
Ila Kinachonisikitisha Ni Huu Uwongo Wa Maulid Kitenge Kuwa Hilo Neno La " KAMPA KAMPA TENA " Wao E FM Ndiyo Wamelianzisha ILA Kwa Kuwa Mimi SIPENDI UNAFIKI Na UWONGO Niseme Tu UKWELI Kuwa Aliyekuwa Wa Kwanza Kulianzisha Hilo Neno Hadi Sasa LIMESHIKA Kasi Mpaka Linatumika Sasa Na Watangazaji Wa Michezo Wa Vyombo Vingine Ni Mtangazaji MTUMBUIZAJI Mbwiga Mbwiguke Na Ningemwona Maulid Kitenge Na Wenzake Wa E FM Badala Ya Kufanya MZAHA Nalo Basi Wangekiri tu Japo Kimoyomoyo Kuwa Wamelichukua Kama Siyo Kuliiga Kutoka Kwa Mbwiga Mbwiguke. Kitaaluma Kufanya " Acknowledgement " Siyo KOSA Wala Hakuna AIBU Ila Kujifanya Kuwa Wewe Ndiyo Mwenye Hilo Jambo au Neno Wakati Siyo Kweli Ndiko KUJISHUSHIA HESHIMA Na KUDHARAULIKA Na Wanaojua.
kwahyo beef ni neno" kampa kampa kampa tena" kwan hao mawingu wana haki miliki ya hilo neno? Washapoteza mvuto na michezo yao mpk radio yao wakae kimya beef wanaitaka wao wazee wa kick , walitaka wenzao wasiajiriwe sehemu nyngne kwenye maslai zaidi
 
Ungekuwa Ni Ushindani Mbwiga Angekuwa Anamcheka Ibrahim Masoud " Maestro " Kuwa Kafanya Kazi Clouds Media Kwa Zaidi Hata Ya Miaka 12 Lakini Kaja KUNUNUA Gari Baada Ya Miaka 8 Kazini Wakati Yeye Mbwiga Mbwiguke Kafanya Kazi Sasa Ni Mwaka 1 Tu Tayari Ana GARI? Mkuu Labda Nikuambie Tu YANAYOENDELEA Baina Ya Hawa WATANGAZAJI WA MICHEZO WA HIZI REDIO MBILI Ni MAKUBWA Na Narudia Tena Kama WASIPOKALISHWA Chini Na KUONYWA au KUREKEBISHWA Naiona Hatari Na Watafika Pabaya.

mtanzania mwenye kupenyeza chuki kwa vijineno vdogo tu vya ushindani wa kibiashara
 
Ungekuwa Ni Ushindani Mbwiga Angekuwa Anamcheka Ibrahim Masoud " Maestro " Kuwa Kafanya Kazi Clouds Media Kwa Zaidi Hata Ya Miaka 12 Lakini Kaja KUNUNUA Gari Baada Ya Miaka 8 Kazini Wakati Yeye Mbwiga Mbwiguke Kafanya Kazi Sasa Ni Mwaka 1 Tu Tayari Ana GARI? Mkuu Labda Nikuambie Tu YANAYOENDELEA Baina Ya Hawa WATANGAZAJI WA MICHEZO WA HIZI REDIO MBILI Ni MAKUBWA Na Narudia Tena Kama WASIPOKALISHWA Chini Na KUONYWA au KUREKEBISHWA Naiona Hatari Na Watafika Pabaya.

Gari nalo la kumpimia mtu mafanikio?
 
Nilipojiita " GENTAMYCINE " Hakika SIKUKOSEA Na Ndiyo Nawapeni Tu TIBA Humu Na Kiukweli MAPOPOMA Wa Aina Yako Humu Mnanyooka. Kumbe Umekuwa Tokea Siku Nyingi Sana UKIFUATILIA Posts Na Threads Zangu Humu JF? Nimefurahi Sana Leo Kusikia Kuwa Nina FOLLOWER Aina Ya POPOMA Kama Wewe Anayenifuatilia Humu. Si Wewe Tu Mkuu Unayenifuatilia Bali Hata MALAIKA WA MBINGUNI KWA MWENYEZI MUNGU WANANIFUATILIA NA WANAPENDA KAMA SIYO KUVUTIWA NA VITU NINAVYOVILETA HUMU. Na Kama Haitoshi Hata Rais Wako Magu HALALI Na HAPITISHI Siku Bila Kufungulia JF Kuangalia " Mathematicien " GENTAMYCINE Ameandika au Ameanzisha Uzi Gani Humu. Kufuatiliwa Na Rais Wa Ni Bahati Sana Mkuu Japo Najua Kabisa Kuwa Wewe FOLLOWER Wako Mkubwa Humu Ni " LUCIFER ".

Yaani we kenge kweli.Unajionaga we keki ya sherehe,.
 
mpaka clouds inafikia hatua ya kugombana kisa jina kwa redio ambayo imeanza karibuni basi dawa itakuwa imeanza kuingia. coz clouds redio nyingi zilikuwa zinaiga mtindo wao na hawakuwai kupiga kelele. binafsi tangu kuja kwa hii redio clouds nimeitupa kapuni hasa kwenye kipindi cha michezo mara nyingi nasikiliza EFM.
 
Nilishaacha sikiliza hizi Radio. Toka Capitaaaaain alipoondoka Jahazi clouds baaasi habari nazipata JF au ITV. Michezo Star Tv nikimaliza nahamia JF
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom