NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 12,322
- 10,915
Dally kimoko yaani mpenzi kimoja,wale wazee wa zote tamuTeam dally kimoko ndo inafanyaje?au maana ipi,, iyo team Elton john inajulikana maana yake
Dally kimoko yaani mpenzi kimoja,wale wazee wa zote tamuTeam dally kimoko ndo inafanyaje?au maana ipi,, iyo team Elton john inajulikana maana yake
Ili Uone Kwamba BIFU Hili Sasa Linaelekea Pabaya Hawa WATANGAZAJI Wote Wakiwa Off Air Hupigana Madongo Ya UKWELI UKWELI Kwa Mfano Upande Mmoja Unaushutumu Mwingine Kuwa Kuna Mtangazaji Mmoja Ni " MWIBA MCHICHA " Huku Upande Wa Pili Nao Ukiushutumu Mwingine Kuwa Kuna Mtangazaji Mmoja Ni Mpigaji Maarufu Wa Gitaa La Solo La " Dally Kimoko ".
Ungekuwa Ni Ushindani Mbwiga Angekuwa Anamcheka Ibrahim Masoud " Maestro " Kuwa Kafanya Kazi Clouds Media Kwa Zaidi Hata Ya Miaka 12 Lakini Kaja KUNUNUA Gari Baada Ya Miaka 8 Kazini Wakati Yeye Mbwiga Mbwiguke Kafanya Kazi Sasa Ni Mwaka 1 Tu Tayari Ana GARI? Mkuu Labda Nikuambie Tu YANAYOENDELEA Baina Ya Hawa WATANGAZAJI WA MICHEZO WA HIZI REDIO MBILI Ni MAKUBWA Na Narudia Tena Kama WASIPOKALISHWA Chini Na KUONYWA au KUREKEBISHWA Naiona Hatari Na Watafika Pabaya.
wote wanapiga kelele tuu za debe tupu lisoisha kutika....maneno ya kiswahili mmiliki wake ni baraza la kiswahili la taifa (BAKITA)...hakuna mbwiga wa kitenge mwenye hatimiliki ya neno la kiswahili....ingekuwa hivyo juma nature kasim kiroboto...kibla...angekuwa tajiri wa maneno maana kila nyimbo aliyokuwa akiimba alikuwa anatunga neno au msemo mpya wa kiswahili na unatumika nchi na dunia nzima...mfano?...gado, chonga ngenga, kuku kuku jogoo jina, mapokopoko anjari na kadha wa kadhalika.Ila Kinachonisikitisha Ni Huu Uwongo Wa Maulid Kitenge Kuwa Hilo Neno La " KAMPA KAMPA TENA " Wao E FM Ndiyo Wamelianzisha ILA Kwa Kuwa Mimi SIPENDI UNAFIKI Na UWONGO Niseme Tu UKWELI Kuwa Aliyekuwa Wa Kwanza Kulianzisha Hilo Neno Hadi Sasa LIMESHIKA Kasi Mpaka Linatumika Sasa Na Watangazaji Wa Michezo Wa Vyombo Vingine Ni Mtangazaji MTUMBUIZAJI Mbwiga Mbwiguke Na Ningemwona Maulid Kitenge Na Wenzake Wa E FM Badala Ya Kufanya MZAHA Nalo Basi Wangekiri tu Japo Kimoyomoyo Kuwa Wamelichukua Kama Siyo Kuliiga Kutoka Kwa Mbwiga Mbwiguke. Kitaaluma Kufanya " Acknowledgement " Siyo KOSA Wala Hakuna AIBU Ila Kujifanya Kuwa Wewe Ndiyo Mwenye Hilo Jambo au Neno Wakati Siyo Kweli Ndiko KUJISHUSHIA HESHIMA Na KUDHARAULIKA Na Wanaojua.
Dally kimoko yaani mpenzi kimoja,wale wazee wa zote tamu
Uwepo Wa Ibrahim Masoud " Maestro " Na Mwenzie Dina Marios Huko E FM Ndiyo KICHOCHEO Kikubwa Cha Yote Haya Kwani WATANGAZAJI Hawa HAWAJAONDOKA Vizuri Clouds Media Group Huku Maestro Akiendeleza CHUKI Zake ALIZOKUWA NAZO DHIDI YA Mbwiga Mbwiguke Na Mtangazaji Mwenzie Shaffi Dauda Huku Mwanadada Dina Akiendeleza Chuki Zake Kwa Bosi Na Hawara Yake ( Bosi KIWEMBE ) Juu Ya KUMTHAMINI Sana Mwanadada Mbau Mbau Wa KIHA Aliyeonekana KUMSHIKA Vilivyo Bosi KIWEMBE Na Sasa Kamzalia Mtoto Wa Pili Hadi Bosi KIWEMBE Sasa Anakaribia Kumuachia MAJUKUMU Mengine Mrembo Mtangazaji " Mbau Mbau ". Hii VITA SI YA KITOTO Na Ni Bonge La FILAMU!
Umekosea Kabisa Mkuu Na Kama Ni Safari Basi Sisi Tunaelekea Kigoma Wewe Unataka Kutupeleka " Kisiju " Naona Mnazidi Tu Kupata Shida Hivyo Ngoja Niwafumbieni Tena Na Kama Hapa Msipoelewa au Kung'amua Kitu Basi Hakika Sasa Mtakuwa Ni MAPOPOMA Kweli Na Msinisumbue Tena Kuniuliza Sawa? Tafuteni Gari Zote Za Ubalozini Kisha Angalieni Zile Herufu Zake Za Katikati Ambazo Huwa Ni Mbili Tu Kisha Ongeza Mbele Namba Nne ( 4 ) Halafu " Jiongezeni ". Sitaki Tena Swali Juu Ya Maana Ya " Dally Kimoko " Ukiweza Kulifumbua Hilo FUMBO TAKATIFU Hapo Wewe " JINIASI " Na Tutakuwa Pamoja.
Boss kiwembe ni nani?Vizuri Sana Kumbe Hata Wewe UMELIONA Hili. Upo Sahihi 100%! Hili BIFU Lisipotafutiwa Dawa Mapema TUTEGEMEENI Siku Moja Kuyasikia Yale MATUSI Yetu Ya Kibaiolojia HEWANI. Ila Mpenda CHOKOCHOKO MKUU NI Ibrahim Masoud " Maestro " Ambaye Tokea Akiwa Hapo Clouds Media Group Na Kule Klabuni Simba Sports Club Alikuwa Ni MTU WA KUJIKWEZA, DHARAU Na Ana Tabia Moja Mbaya Sana Ya Kupenda KUABUDIWA Kama Siyo KUNYENYEKEWA Lakini Pia Ni Mtu Mzuri Sana Na Wa KUTUKUKA Wa Kamati Zetu Zile Za UFUNDI Tunazoziona Katika Vilabu Vyetu Hivi Vikubwa Viwili ( Kupiga KIPAPAI Wenzake au HOLA HOLA ) Ili Aonekane Yeye Tu Na Aliposhtukiwa Na Wenzake Wa CLOUDS FM Kwa Hiyo Tabia WAKAANZA KUMTENGA Ila Kiboko Yake Ni Kwa Maulid Kitenge Ambaye Jamaa Kila Akimpiga KIPAPAI Kitenge Anakuta Mwenzake KESHAOGA MAJI YA BAHARI Muda Mrefu Sana. Hii FILAMU Naiona Kabisa Inapoenda Na Itakapoishia! TCRA Ingilieni Kati Kwani Hata Kipindi Cha Clouds FM Cha Saa 4 Hadi Saa 7 Kinachorushwa Sasa Na Maadui Zake Dina Marios Na Cha E FM Cha Saa 6 Hadi Saa 9 Mkivisikiliza Ni FULL MIPASHO, VIJEMBE Na MAJUNGU Tena Ya Wazi Wazi. Ni Hatari!
Kuna aliyerecord audio alisoma kwa sauti..nikutumie?Mliosoma mnaweza kunisaidia samare........?......napenda kuujua huu mtanange........
wote wanapiga kelele tuu za debe tupu lisoisha kutika....maneno ya kiswahili mmiliki wake ni baraza la kiswahili la taifa (BAKITA)...hakuna mbwiga wa kitenge mwenye hatimiliki ya neno la kiswahili....ingekuwa hivyo juma nature kasim kiroboto...kibla...angekuwa tajiri wa maneno maana kila nyimbo aliyokuwa akiimba alikuwa anatunga neno au msemo mpya wa kiswahili na unatumika nchi na dunia nzima...mfano?...gado, chonga ngenga, kuku kuku jogoo jina, mapokopoko anjari na kadha wa kadhalika.
waambie hao watoto wakuwe wajuwe...na mbwiga mwambie aache utoto mtu mzima yule asisubiri kupigiwa kengele au alarm kuwa keshakuwa anazeeka sasa.
eti dina mario kaachwa ba boss wake kiwembe .. na bosi kiwembe yupo nazamaradi ..mi hilo ndiyo linanihusu umbea wa siku huuMliosoma mnaweza kunisaidia samare........?......napenda kuujua huu mtanange........
Boss kiwembe ni nani?
Boss kiwembe ni nani?
ANA OFISI MIKOCHENI JOINT VENTURE FLANI, UNATAKA "MRABAHA?" KWA YULE JAMAA ALIE GAWA PESA STANBIC? JIONGEZE, SI VYOTE UTAFUNIWE
anashughulikia mambo ya istagramUsingetokea Katika UZI Huu SHETANI Angeacha Rasmi KUTUTESA Wana Wa Mungu. Patner Wako ALIYETUKUKA Kwa UMBEA Leo Umemwacha Wapi?