Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,374
- 38,257
Ili Uone Kwamba BIFU Hili Sasa Linaelekea Pabaya Hawa WATANGAZAJI Wote Wakiwa Off Air Hupigana Madongo Ya UKWELI UKWELI Kwa Mfano Upande Mmoja Unaushutumu Mwingine Kuwa Kuna Mtangazaji Mmoja Ni " MWIBA MCHICHA " Huku Upande Wa Pili Nao Ukiushutumu Mwingine Kuwa Kuna Mtangazaji Mmoja Ni Mpigaji Maarufu Wa Gitaa La Solo La " Dally Kimoko ".
Hapo kwenye mchicha mwiba nimekuelewa, sasa huku kwenye ''gitaa la solo la dally kimoko'' sijui nani huyu?
