GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,059
- 126,650
- Thread starter
- #61
Siku nyingi sijasikiliza Clauds FM, nilishaipotezea kitambo, siwafagilii
Hiyo " Clauds FM " Yako Iko Hapa Hapa Duniani au Jehanam Mkuu? Iliyopo Duniani Ni Clouds FM.
Siku nyingi sijasikiliza Clauds FM, nilishaipotezea kitambo, siwafagilii
Mzee usipanic do you know the meaning of samariAcha KEJELI Na SANIFU Za Kirejareja. Ungesoma Journalism au Ungekuwa Ni Mbobezi ULIYETUKUKA Hasa Kwa Masuala Ya Communication Usingebeza Nilichokiweka Hapo. Maelezo Yako Yanaakisi UNAFIKI Wako. Wewe Huyo Huyo Unasema Waliosoma Wakupe Summary Halafu Wewe Tena Unasema Unataka Kuujua Huu Mtanange.
anashughulikia mamabo ya istagram
ndiyo mkuuHuku Wewe Sasa Ukijiandaa Kushughulikia " Badoo ".
Easy and sensibleWapo watangazaji waliohama toka Clouds na kwenda EFM, baada ya hapo kumefuatia vijembe vya hadharani, yaani wakati vipindi vikiendelea, wanarushiana madongo hewani.
Hao Clouds wakubali tu muda wao wa kuwa juu umeshafika mwisho. Kwanza huyo Shaffi anajifanya mbobezi wa michezo wakati muongo tu, kwa mtu anayejua soccer la ulaya juu juu anaweza kumuona anajua lakinj ni mweupe tu. Kuna vitu anadanganyaga kweupe mchana
Acha chuki binafsHao Clouds wakubali tu muda wao wa kuwa juu umeshafika mwisho. Kwanza huyo Shaffi anajifanya mbobezi wa michezo wakati muongo tu, kwa mtu anayejua soccer la ulaya juu juu anaweza kumuona anajua lakinj ni mweupe tu. Kuna vitu anadanganyaga kweupe mchana
Mzee usipanic do you know the meaning of samari
Umekosea Kabisa Mkuu Na Kama Ni Safari Basi Sisi Tunaelekea Kigoma Wewe Unataka Kutupeleka " Kisiju " Naona Mnazidi Tu Kupata Shida Hivyo Ngoja Niwafumbieni Tena Na Kama Hapa Msipoelewa au Kung'amua Kitu Basi Hakika Sasa Mtakuwa Ni MAPOPOMA Kweli Na Msinisumbue Tena Kuniuliza Sawa? Tafuteni Gari Zote Za Ubalozini Kisha Angalieni Zile Herufu Zake Za Katikati Ambazo Huwa Ni Mbili Tu Kisha Ongeza Mbele Namba Nne ( 4 ) Halafu " Jiongezeni ". Sitaki Tena Swali Juu Ya Maana Ya " Dally Kimoko " Ukiweza Kulifumbua Hilo FUMBO TAKATIFU Hapo Wewe " JINIASI " Na Tutakuwa Pamoja.
Hujaeleweka bado,,
Hivi kuwa na gari ndio maendeleo??, samahani lakini.Ungekuwa Ni Ushindani Mbwiga Angekuwa Anamcheka Ibrahim Masoud " Maestro " Kuwa Kafanya Kazi Clouds Media Kwa Zaidi Hata Ya Miaka 12 Lakini Kaja KUNUNUA Gari Baada Ya Miaka 8 Kazini Wakati Yeye Mbwiga Mbwiguke Kafanya Kazi Sasa Ni Mwaka 1 Tu Tayari Ana GARI? Mkuu Labda Nikuambie Tu YANAYOENDELEA Baina Ya Hawa WATANGAZAJI WA MICHEZO WA HIZI REDIO MBILI Ni MAKUBWA Na Narudia Tena Kama WASIPOKALISHWA Chini Na KUONYWA au KUREKEBISHWA Naiona Hatari Na Watafika Pabaya.
Team darik moko ni walewapigamagitaa maana yake miiili yao inaaaaTeam dally kimoko ndo inafanyaje?au maana ipi,, iyo team Elton john inajulikana maana yake
Hivi kuwa na gari ndio maendeleo??, samahani lakini.
Team darik moko ni walewapigamagitaa maana yake miiili yao inaaaa
Bado hujaolewa tuma
Mbwiga mzee wa midfielder kisheti na mambo ya umatemate anakwambia gari zima ndio huvuta bovu chuma kina maneno kile.Uchambuzi wako mzuri kuna vitu vina akisi penye ukweli.Ila Kinachonisikitisha Ni Huu Uwongo Wa Maulid Kitenge Kuwa Hilo Neno La " KAMPA KAMPA TENA " Wao E FM Ndiyo Wamelianzisha ILA Kwa Kuwa Mimi SIPENDI UNAFIKI Na UWONGO Niseme Tu UKWELI Kuwa Aliyekuwa Wa Kwanza Kulianzisha Hilo Neno Hadi Sasa LIMESHIKA Kasi Mpaka Linatumika Sasa Na Watangazaji Wa Michezo Wa Vyombo Vingine Ni Mtangazaji MTUMBUIZAJI Mbwiga Mbwiguke Na Ningemwona Maulid Kitenge Na Wenzake Wa E FM Badala Ya Kufanya MZAHA Nalo Basi Wangekiri tu Japo Kimoyomoyo Kuwa Wamelichukua Kama Siyo Kuliiga Kutoka Kwa Mbwiga Mbwiguke. Kitaaluma Kufanya " Acknowledgement " Siyo KOSA Wala Hakuna AIBU Ila Kujifanya Kuwa Wewe Ndiyo Mwenye Hilo Jambo au Neno Wakati Siyo Kweli Ndiko KUJISHUSHIA HESHIMA Na KUDHARAULIKA Na Wanaojua.
Mbwiga mzee wa midfielder kisheti na mambo ya umatemate anakwambia gari zima ndio huvuta bovu chuma kina maneno kile.Uchambuzi wako mzuri kuna vitu vina akisi penye ukweli.
Km unafuatilizia vzr chambuzi za michezo hasa mechi ikiwa inachezwa utaonj kabisa kina daudi hawapo vzr kulinganisha na wengine kwangu mm geofrey lea iz da best then 2tofautishe mchambuzi wa mpira mtangazaji na m2 wa kucheza na habari za mitandao...nawasilisha
shaffii nilikuwa namheshimu ila kwa kuanza mipasho nimeanza kumdharau.