mjenziwakale
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 724
- 946
Foundation soil itakuwa imehusika kwa asilimia kubwa.... kwa mbali udongo nauona kama black cotton soil
Hii construction failure unafikiri imesababishwa na nini?
Foundation soil itakuwa imehusika kwa asilimia kubwa.... kwa mbali udongo nauona kama black cotton soil
Hii construction failure unafikiri imesababishwa na nini?
What is the cause of unequal settlementUnequal settlement
Vipi kwani hukupewa detailed design ya barabara yote pamoja na levels za barabara hiyo kuonesha inapita maeneo yepi........ Namaanisha Route design yakeNimepewa site ya barabara (gravel road) na barabara inapita Milimani yani milima Kweli... Naombeni ushauri nini Cha kuzingatia wahandisi haswa haswa ukizingatia kuna sharp corners na mawe mengi Sana na mengine yamefunga barabara kabisa. Please Sina uzoefu wa barabara hivyo ushauri wenu ni muhimu.
Nawasilisha.
Hapa jibu liko straight, poor formwork!! hasa zile column na zile zinazolazwa kusapport slab wakati wa kumwaga!!
Hii ni Slab Formwork Failure during pouring, Unafikiri kwanini
Mkuu Drawing is our comunication language kama hujui wewe utakuwa engineer wa aina ganihi engineers, naomba kufahamu kutoka kwa kwa mainjinia waliopo katika field kwa muda mrefu, je kujua matumizi ya drawing softwares kwa uelevu wa hali ya juu kunamsaidia nini injinia wa ujenzi kwa ngazi ya juu ya utendaji kazi wake?
namaanisha kuwa nondo sana, je unaruhusiwa kufanya design ya jengo kubwa au ni architect tu ndo anaruhusiwa?Mkuu Drawing is our comunication language kama hujui wewe utakuwa engineer wa aina gani
No way for the projects of that rise pile foundation cant be employedBefore design kunakua soil investigations zimefanyika..baada ya data kupatikana Geotechnical Engineer atashauri foundation ya namna gani itumike..
Kama kuna uwezekano wa kua na soil liquefaction foundation kama vile pile ni suitable kwa maeneo kama hayo..
Japo kua kuna other unforeseen factors zinaweza kua hazijaonekana zikapelekea hiyo failure kutokeaa
This can be due to bending moment....
Hii ni Slab Formwork Failure during pouring, Unafikiri kwanini
This is the expansion which is poorly employed, for the smart builder makes sure that it is not easily seen.Expansion joint ni kwa ajili ya kuavoid kitu inaitwa monolithic construction ambapo sehemu za jengo zinatenganishwa ili hata ukitokea mtanuko au muyumbo mahala popote hauathiri jengo zima......... I stand to be corrected
If you are interested to work in the design team ( consultant) then you have to be smart with software, for the construction team you have to have the knowledge of drawings interpretation though its good to be familiar with this softwares......hi engineers, naomba kufahamu kutoka kwa kwa mainjinia waliopo katika field kwa muda mrefu, je kujua matumizi ya drawing softwares kwa uelevu wa hali ya juu kunamsaidia nini injinia wa ujenzi kwa ngazi ya juu ya utendaji kazi wake?
Hii inaweza kuwa special purpose structure, no way mtu anaweza fanya blunder kiasi hki
Hapa inakuwaje?
Dislocation...
Hapo vp
Kuna archtectural drawings and detailed design drawings, we komaa sana na kwenye detail design simply RCCnamaanisha kuwa nondo sana, je unaruhusiwa kufanya design ya jengo kubwa au ni architect tu ndo anaruhusiwa?
shukran mkuu, just a little explanation with great meaning to my career.Kuna archtectural drawings and detailed design drawings, we komaa sana na kwenye detail design simply RCC
engineers (Civil) tuna deal hasa na structure artchitect yeye atachora mjengo labda utakaaje na kuoneka vipi ila sisi structural engineers ndio tunadeal na designing ya structure, ninaposema structure namaanisha slabs, columns, floor, stairs na mengineyonamaanisha kuwa nondo sana, je unaruhusiwa kufanya design ya jengo kubwa au ni architect tu ndo anaruhusiwa?