Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,305
- 8,655
Habari Zenu ndugu zangu, nimeona ni busara kuanzisha uzi huu mahususi kwa ajili ya kujadiliana maswala ya ujenzi kwa ujumla.
Ni ukweli usiopingika ujenzi ni sehemu muhimu ambayo kila mtu anatakiwa angalau kuwa na idea nayo!
Basi kwenye uzi huu tutaajadiliana changamoto zote za ujenzi yaani wa majengo, barabara na Miundombinu ya maji pia ambayo pia ni sehemu ya Uhandisi wa ujenzi/maji!
Tutakutana na wahandisi wa wa Majengo/Barabara pia na kwa upande wa Maji!
Ewe Mhandisi tunaomba ushirikiano wako katika kutimiza Hili, Aidha inaruhusiwa mtu yeyote kuuliza swali au kutoa idea na wataalamu/wahandisi tuliopo hapa Jukwaani tutasaidiana kufafanua.
Kama Mhandisi wa Ujenzi nimeona ni busara kuleta uzi huu kwenu, karibu nawe pia kwa mchango wako!
Ahsanteni sana!
ARCHITECTUS