Civil Engineering Special Thread!

article-0-0585ED2D000005DC-946_634x420.jpg

Hii construction failure unafikiri imesababishwa na nini?
Foundation soil itakuwa imehusika kwa asilimia kubwa.... kwa mbali udongo nauona kama black cotton soil
 
hi engineers, naomba kufahamu kutoka kwa kwa mainjinia waliopo katika field kwa muda mrefu, je kujua matumizi ya drawing softwares kwa uelevu wa hali ya juu kunamsaidia nini injinia wa ujenzi kwa ngazi ya juu ya utendaji kazi wake?
 
Nimepewa site ya barabara (gravel road) na barabara inapita Milimani yani milima Kweli... Naombeni ushauri nini Cha kuzingatia wahandisi haswa haswa ukizingatia kuna sharp corners na mawe mengi Sana na mengine yamefunga barabara kabisa. Please Sina uzoefu wa barabara hivyo ushauri wenu ni muhimu.
Nawasilisha.
Vipi kwani hukupewa detailed design ya barabara yote pamoja na levels za barabara hiyo kuonesha inapita maeneo yepi........ Namaanisha Route design yake
 
26734322_1720935267951661_5085751886449830623_n.jpg

Hii ni Slab Formwork Failure during pouring, Unafikiri kwanini
Hapa jibu liko straight, poor formwork!! hasa zile column na zile zinazolazwa kusapport slab wakati wa kumwaga!!

Kwa kifupi hili ni kosa la contractor!!! NA ANGETAKIWA ABOMOE NA AANZE UPYA KWA GHARAMA ZAKE MWENYEWE!
 
hi engineers, naomba kufahamu kutoka kwa kwa mainjinia waliopo katika field kwa muda mrefu, je kujua matumizi ya drawing softwares kwa uelevu wa hali ya juu kunamsaidia nini injinia wa ujenzi kwa ngazi ya juu ya utendaji kazi wake?
Mkuu Drawing is our comunication language kama hujui wewe utakuwa engineer wa aina gani
 
Before design kunakua soil investigations zimefanyika..baada ya data kupatikana Geotechnical Engineer atashauri foundation ya namna gani itumike..

Kama kuna uwezekano wa kua na soil liquefaction foundation kama vile pile ni suitable kwa maeneo kama hayo..
Japo kua kuna other unforeseen factors zinaweza kua hazijaonekana zikapelekea hiyo failure kutokeaa
No way for the projects of that rise pile foundation cant be employed
 
This is the expansion which is poorly employed, for the smart builder makes sure that it is not easily seen.Expansion joint ni kwa ajili ya kuavoid kitu inaitwa monolithic construction ambapo sehemu za jengo zinatenganishwa ili hata ukitokea mtanuko au muyumbo mahala popote hauathiri jengo zima......... I stand to be corrected
 
hi engineers, naomba kufahamu kutoka kwa kwa mainjinia waliopo katika field kwa muda mrefu, je kujua matumizi ya drawing softwares kwa uelevu wa hali ya juu kunamsaidia nini injinia wa ujenzi kwa ngazi ya juu ya utendaji kazi wake?
If you are interested to work in the design team ( consultant) then you have to be smart with software, for the construction team you have to have the knowledge of drawings interpretation though its good to be familiar with this softwares......
 
namaanisha kuwa nondo sana, je unaruhusiwa kufanya design ya jengo kubwa au ni architect tu ndo anaruhusiwa?
Kuna archtectural drawings and detailed design drawings, we komaa sana na kwenye detail design simply RCC
 
Kuna archtectural drawings and detailed design drawings, we komaa sana na kwenye detail design simply RCC
shukran mkuu, just a little explanation with great meaning to my career.
bt if una maelezo ya ziada kuhusiana na drawings za kihandisi, pls be patient to share with us!!!
 
Napita Kwa kunata Salama mainjinia mmevaaa lakini mabuti na maelementi na makoti yenu kama Mataa ya ubungo
 
namaanisha kuwa nondo sana, je unaruhusiwa kufanya design ya jengo kubwa au ni architect tu ndo anaruhusiwa?
engineers (Civil) tuna deal hasa na structure artchitect yeye atachora mjengo labda utakaaje na kuoneka vipi ila sisi structural engineers ndio tunadeal na designing ya structure, ninaposema structure namaanisha slabs, columns, floor, stairs na mengineyo
 
Back
Top Bottom