Civil Engineering Special Thread!

shukran mkuu, just a little explanation with great meaning to my career.
bt if una maelezo ya ziada kuhusiana na drawings za kihandisi, pls be patient to share with us!!!
kwa uwezo wa kawaida kuwa expert wa AutoCAD tu but ukipenda waeza jifunza ArchCAD procon na tools zingine kibao za desingning
 
Mwenzio nimemaliza form 4 sjui Logarithim sjui kama nimepatia hata kuandika hayo ya uhandisi nitayaweza wapi mm Nimekuja kuwapiga chabo tu
utajua mbele kwa mbele usijali si umesema unataka kuzaa na engineer...hapa ndo mahali pa kumpatia ss huyo mzazi mwenza
 
kwa uwezo wa kawaida kuwa expert wa AutoCAD tu but ukipenda waeza jifunza ArchCAD procon na tools zingine kibao za desingning
nimetumia muda mwingi sana kujiimarisha katika autocad na ArchCAD, na nilitaka nianze master series, bt some of ma college mates wakawa wanadai naconcetrate na vitu ambavyo sitavitumia kwa saana. bt thanks for ur advice hv bn helpfully.
 
wamekushauri vema, maana vile vitu yunajifunza ili hata ukipewa layout ya mchoro uweze kuu tafsiri na wewe kama engineer kazi yako kubwa ni kutafsiri ile michoro pia kudesign
 
Back
Top Bottom