Civil Engineering Special Thread!

Hapa jibu liko straight, poor formwork!! hasa zile column na zile zinazolazwa kusapport slab wakati wa kumwaga!!

Kwa kifupi hili ni kosa la contractor!!! NA ANGETAKIWA ABOMOE NA AANZE UPYA KWA GHARAMA ZAKE MWENYEWE!

Kwa massive construction inabidi utulie kudesign formwork na struts. Hiyo inatokana na pressure kubwa itayoletwa na dead load ya concrete na compaction. Kimazoea watu tunapiga marine na milunda story imeisha. Ingawa tangu nimesoma sijawahi kufanya katika uhalisia. Siku nilikutana na "Doka" wauzaji wa formwork ndio nikaelewa zaidi. Mfano estim ni wateja wao wakubwa hapa bongo.
So kwa massive construction kama daraja ni lazima kabisa ufanye design ya formwork. Hiyo pic inaonesha hakuna design ilifanyika na kama ilifanyika basi ilichakachuliwa.....
 
namaanisha kuwa nondo sana, je unaruhusiwa kufanya design ya jengo kubwa au ni architect tu ndo anaruhusiwa?

hi engineers, naomba kufahamu kutoka kwa kwa mainjinia waliopo katika field kwa muda mrefu, je kujua matumizi ya drawing softwares kwa uelevu wa hali ya juu kunamsaidia nini injinia wa ujenzi kwa ngazi ya juu ya utendaji kazi wake?
Nikiamka nitakujia na majibu...
 
Kwa massive construction inabidi utulie kudesign formwork na struts. Hiyo inatokana na pressure kubwa itayoletwa na dead load ya concrete na compaction. Kimazoea watu tunapiga marine na milunda story imeisha. Ingawa tangu nimesoma sijawahi kufanya katika uhalisia. Siku nilikutana na "Doka" wauzaji wa formwork ndio nikaelewa zaidi. Mfano estim ni wateja wao wakubwa hapa bongo.
So kwa massive construction kama daraja ni lazima kabisa ufanye design ya formwork. Hiyo pic inaonesha hakuna design ilifanyika na kama ilifanyika basi ilichakachuliwa.....
idea
 
nimetumia muda mwingi sana kujiimarisha katika autocad na ArchCAD, na nilitaka nianze master series, bt some of ma college mates wakawa wanadai naconcetrate na vitu ambavyo sitavitumia kwa saana. bt thanks for ur advice hv bn helpfully.
Daaah umepotezwa mkuu... Master series ndio the only robust software tena iko very strong ku desigh hizi structural members.... Kama unajua auto anza kukomaa na master series... Kuna inaitwa robot ila master series ndio yenyewe!!
 
I see kwa elimu ya kibongo kama upo chuoni its better ujue kabisa unataka kuwa nani. Civil kubwa mno. Me mpaka leo uniulize specialist wa nn sijui. Chagua kama unataka kuwa structure komaa na RCC na hiyo master series au software ambayo utakuwa accessible nayo. Kama unataka kuwa material basi ushinde lab muda wako mwingi kama unataka maji basi tafuta engineers wa maji uwe karibu nao hapo utakuwa na epernet kama barabara basi jua material, survey na civil 3d ....... otherwise usikurupuke kila kitu unataka wewe. Just ushauri. Ila kujua excel na AutoCad ni lazima.

Mimi up to now na regret why nilisoma civil engineering without a mentor.
 
Daaah umepotezwa mkuu... Master series ndio the only robust software tena iko very strong ku desigh hizi structural members.... Kama unajua auto anza kukomaa na master series... Kuna inaitwa robot ila master series ndio yenyewe!!
mkuu izi tools zipo nyingi mno
 
26734322_1720935267951661_5085751886449830623_n.jpg

Hii ni Slab Formwork Failure during pouring, Unafikiri kwanini

Hapa kuna sababu kadhaa, inawezekana kati ya hizi zifuatazo:
1. Formwork haikuwa imara ,
2 . Nguzo au zile boriti zinazoshikilia mbao za formwork zimefyatuka .
3.Umbali kati ya hizo nguzo hapo namba mbili ulikuwa mkubwa ,
4.Msukumo (pressure ) ya zege (pump) ilikuwa kubwa.
5.kimo cha pipe inayotema /inayonwaga zege kilikuwa juu ya kiwango , yaani mtu anayeshika hiyo pipe asinyanyue zaidi ya sentimita 50 kutoka kwenye vyuma vya slabu.

Angalizo: Mimi siyo mhandisi, ila nina uzoefu wa kubeba zege . Ni kibarua wa zege.

Umesema vyemaa...Asante kibarua mzoefu
 
Kuna archtectural drawings and detailed design drawings, we komaa sana na kwenye detail design simply RCC
Yeah,koma kwenye Detailed Structural Drawings(RCC,Structural Steel Design Drawings,Timber Design Drawing na Combined/Composite Structural Design Drawings ). Kwenye miradi ya Ujenzi, mara nyingi Team Leader ni Architect,wakati kwenye miradi ya Barabara Team Leader ni Civil/Highway Engineer.
 
engineers (Civil) tuna deal hasa na structure artchitect yeye atachora mjengo labda utakaaje na kuoneka vipi ila sisi structural engineers ndio tunadeal na designing ya structure, ninaposema structure namaanisha slabs, columns, floor, stairs na mengineyo
Kweli tupu,bila kusahau ni kiongozi katika kazi zote za Civil kama madaraja,Dams,Retaining Wall,Slopes,Ports,Airport runway nk
 
nimetumia muda mwingi sana kujiimarisha katika autocad na ArchCAD, na nilitaka nianze master series, bt some of ma college mates wakawa wanadai naconcetrate na vitu ambavyo sitavitumia kwa saana. bt thanks for ur advice hv bn helpfully.
Ww ni Architect au ni Engineer? Kama ni Engineer,aliyekushauri usifanye Master Series alikupotosha sana. Autocad kama ni Engineer ni Basic Tool kwa kutengenezea Structural Layout Plans na Details Drawings. ARCHCAD kama ni Eng siyo mbaya kuijua lakin haina ulazima sana. Ama kwa Architect,by default lazima unatumia sana Autocad na vivohivyo Archcad,lakini MasterSeries au Prokon.
 
Kwa massive construction inabidi utulie kudesign formwork na struts. Hiyo inatokana na pressure kubwa itayoletwa na dead load ya concrete na compaction. Kimazoea watu tunapiga marine na milunda story imeisha. Ingawa tangu nimesoma sijawahi kufanya katika uhalisia. Siku nilikutana na "Doka" wauzaji wa formwork ndio nikaelewa zaidi. Mfano estim ni wateja wao wakubwa hapa bongo.
So kwa massive construction kama daraja ni lazima kabisa ufanye design ya formwork. Hiyo pic inaonesha hakuna design ilifanyika na kama ilifanyika basi ilichakachuliwa.....
Juzi kesi kama hii nami ilinikuta, ilikua ndo mara yangu ya kwanza kujenga swimming pool basi nkawa nimeweka fomworks zangu kizembe...... kilichotokea sitaki kusema
 
shukran mkuu, just a little explanation with great meaning to my career.
bt if una maelezo ya ziada kuhusiana na drawings za kihandisi, pls be patient to share with us!!!
Ndo nishafika jamvini hapa, nategemea tutajadiliana mengi
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom