Civil Engineering Special Thread!

Kwa Maana hio kwamba kutakuwa na Bearing Capacity Ndogo ya soil sio
Bearing Capacity inasababisha settlement..
Shear failure inatokana na aina ya soil..kwa hiyo kama shear capacity ya soil ni ndogo kuliko shear force due to load ndio hicho kinatokea..
 
Nimepewa site ya barabara (gravel road) na barabara inapita Milimani yani milima Kweli... Naombeni ushauri nini Cha kuzingatia wahandisi haswa haswa ukizingatia kuna sharp corners na mawe mengi Sana na mengine yamefunga barabara kabisa. Please Sina uzoefu wa barabara hivyo ushauri wenu ni muhimu.
Nawasilisha.
Kwani hakuna design drawings..inayoonyesha hizo kona ni kiasi gani?
Na je ulipewaje kazi ambayo hukuandika work methodology?
 
Inawezekana ikawa ni deep au sio deep..

Embu naomba nieleweshe mkuu labda mimi sielewi...

Hilo jengo nikiliangalia lina gorofa karibu 20, je una unaweza kujenga gorofa 20 kwenda juu bila kitumia pile or deep foundation??
 
Inaonyesha hujui pile foundation ndio miongoni mwa deep foundation?
 
Nimepewa site ya barabara (gravel road) na barabara inapita Milimani yani milima Kweli... Naombeni ushauri nini Cha kuzingatia wahandisi haswa haswa ukizingatia kuna sharp corners na mawe mengi Sana na mengine yamefunga barabara kabisa. Please Sina uzoefu wa barabara hivyo ushauri wenu ni muhimu.
Nawasilisha.
Je wewe ni injinia au technician??

Kama ni injinia je uko uoande wa client au contractor?

Mimi sio mhandisi wa barabara ila kwa kazi yako hiyo hakikisha unakomaa sana uelewe drawing na designs zake!! Huo ndio msaafu wako!! Kama uko upande wa contractor basi hakikisha unakua karibu na consultant wa hiyo project!!

Alafu kuhusu mawe hayo yasikusumbue maana kuna operator ndiye atakaye pambana nayo!!
 
Ndio maana nikasema "or deep foundation"!!

Nikimaanisha pile or any other kind of deep foundation!!

Rejea swali langu mkuu..
Before design kunakua soil investigations zimefanyika..baada ya data kupatikana Geotechnical Engineer atashauri foundation ya namna gani itumike..

Kama kuna uwezekano wa kua na soil liquefaction foundation kama vile pile ni suitable kwa maeneo kama hayo..
Japo kua kuna other unforeseen factors zinaweza kua hazijaonekana zikapelekea hiyo failure kutokeaa
Inaonyesha hujui pile foundation ndio miongoni mwa deep foundation?
 
Before design kunakua soil investigations zimefanyika..baada ya data kupatikana Geotechnical Engineer atashauri foundation ya namna gani itumike..

Kama kuna uwezekano wa kua na soil liquefaction foundation kama vile pile ni suitable kwa maeneo kama hayo..
Japo kua kuna other unforeseen factors zinaweza kua hazijaonekana zikapelekea hiyo failure kutokeaa
Hapa sasa nimekupata!

Ulinichanganya uliposema jengo kama hilo linaweza jengwa kwa "deep foundation or not"....ndio maana nikauliza!!
 
Before design kunakua soil investigations zimefanyika..baada ya data kupatikana Geotechnical Engineer atashauri foundation ya namna gani itumike..

Kama kuna uwezekano wa kua na soil liquefaction foundation kama vile pile ni suitable kwa maeneo kama hayo..
Japo kua kuna other unforeseen factors zinaweza kua hazijaonekana zikapelekea hiyo failure kutokeaa
well well well
 
26734322_1720935267951661_5085751886449830623_n.jpg

Hii ni Slab Formwork Failure during pouring, Unafikiri kwanini
 
Back
Top Bottom