CIA walimuua Bob Marley?

 
 
alikuwa na impact gani hadi wazee wa kazi a.k.a wazee wa mission CIA wamuue?????? au bange zake tu zilimzidia.
Bora umesema huyu mvuta bangi alikua na nini haswa kiasi cha kufuatiliwa na CIA , watuw ajinga sana kwa kuamini kila lisemwalo kwnye internet .
 
CIA wamuue Nesta kwa interest ipi, hakuwa tishio kwa Marekani na wala hajawahi kuipunguzia Marekani chochote kile. Jamaa alikufa kwa kansa, period.
 
Huu ndo ukweli
 
Wabongo kwa ujinga wamezidi. Hivi CIA waje kumuua Bob Marley kwa msingi upi wakati jamaa hakuwa na umuhimu wowote Marekani, plus....he was never a threat to viongozi wa Jamaica wala Marekani.
 
ina maana albert mangwair a.k.a mimi nae aliuwawa kwa njama za cia..??..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…