Mzee Wa Republican
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 1,663
- 842
duuuuh . . . . . .
Duuh hii mbona ni janga la elimu utawezaje kumdahili mwanachuo kwa kuongea tu?????Habarini mihangaiko wana jukwaa,
Nawaleteeeni habari cha kushangaza kutoka Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) wao wamekuja na mpya kufanya mitihani kwa kuongea? Tunataka tuzalishe wataalamu wa Aina gani.
Mh Rais wetu ametangaza kufungua vyuo vyote hapo June ila kwanini hawa wenzetu wameng’ang’ania kuleta huu utani katika elimu?
Eti mwananfunzi Atafanya mtihani kupitia ZOOM . Wahusika embu ingilieni Kati hili swala huku ni kucheza na elimu yetu (pata picha hesabu unajibu oral are we serious?).
Duuh hii mbona ni janga la elimu utawezaje kumdahili mwanachuo kwa kuongea tu?????
Mkuu Oral examination/face to face ni moja ya mtihani au sehem ya marks kati ya zile 100%Duuh hii mbona ni janga la elimu utawezaje kumdahili mwanachuo kwa kuongea tu?????
Tumeambiwa korona imeisha kila kitu kiendelee Kama kilivyoMkuu, point yako ni nini hasa, mbona hueleweki!
Ulianza na OREX, tumejitahidi kukuelezea vizuri umuhim wake, ukaelewa
Ukaja na issue ya rushwa kwa waalimu, kitu ambacho vyuo vingi hapa tz wana kashfa hizo, tena mpaka za ngono , nimakuomba uwasilishe pccb kama unaushahid
Sasa umekuja na issue ya kufungua Chuo! , sijajua hapa unataka nini juu ya kufungua chuo, elezea tuelewe nini unamaanisha.
Kiongozi, hutaki kukubali mabadiliko, hao jamaa zako walio kijijini mmewasiliana kwa kutumia nini?Huo Ni utani kwakweli
Nina jamaa zangu wamejiunga huko
Wanalalamika kuhusu huo utaratibu na mbaya zaidi wanalipishwa Ada nyingine ikiwa washamaliza kulipa Ada kamili ya mwaka husika
Hao jamaa wako vijijini huko hakuna network na wengine hata hio zoom hawaijui
Hiko chuo kinaleta utani
Kama wanataka face to face session wawaite kwenye vituo vyao wawafanyie hio ishu
Na kutaka walipe hizo session Tena ikiwa wamemaliza kulipa Ada Ni utapeli wa wazi wazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ebana elimu ya Open nikajua rahisi kama mnavyosema, nimejiunga nasota sanaaaaaHabarini mihangaiko wana jukwaa,
Nawaleteeeni habari cha kushangaza kutoka Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) wao wamekuja na mpya kufanya mitihani kwa kuongea? Tunataka tuzalishe wataalamu wa Aina gani.
Mh Rais wetu ametangaza kufungua vyuo vyote hapo June ila kwanini hawa wenzetu wameng’ang’ania kuleta huu utani katika elimu?
Eti mwananfunzi Atafanya mtihani kupitia ZOOM . Wahusika embu ingilieni Kati hili swala huku ni kucheza na elimu yetu (pata picha hesabu unajibu oral are we serious?).
UPDATE: yani sasa wameamua mwanafunzi apewe maswali akae nayo then anakuja kuulizwa kwa ZOOM hivi wenzangu hamuoni tatizo hapa
View attachment 1497814
Mkuu, inabidi upambane, kama ni level ya Post graduate, make sure unafanya Mijadala (discussions) na wenzako walau hata mara mbili kwa wiki!Ebana elimu ya Open nikajua rahisi kama mnavyosema, nimejiunga nasota sanaaaaa