Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) na utani katika elimu

Habarini mihangaiko wana jukwaa,

Nawaleteeeni habari cha kushangaza kutoka Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) wao wamekuja na mpya kufanya mitihani kwa kuongea? Tunataka tuzalishe wataalamu wa Aina gani.

Mh Rais wetu ametangaza kufungua vyuo vyote hapo June ila kwanini hawa wenzetu wameng’ang’ania kuleta huu utani katika elimu?

Eti mwananfunzi Atafanya mtihani kupitia ZOOM . Wahusika embu ingilieni Kati hili swala huku ni kucheza na elimu yetu (pata picha hesabu unajibu oral are we serious?).

Duuh hii mbona ni janga la elimu utawezaje kumdahili mwanachuo kwa kuongea tu?????
 
Duuh hii mbona ni janga la elimu utawezaje kumdahili mwanachuo kwa kuongea tu?????

Adjustments.jpg
 
Duuh hii mbona ni janga la elimu utawezaje kumdahili mwanachuo kwa kuongea tu?????
Mkuu Oral examination/face to face ni moja ya mtihani au sehem ya marks kati ya zile 100%

Pia, kipindi hichi cha Covid19, Mataifa mengi sana yamekuwa yakihangaika namna ya kutoa elimu kwa njia ya masafa! mfano Uganda, Kenya na Rwanda! OUT imekuwa role model ya aina hii ya utoaji elimu.

Wenzetu barani Ulaya, wao waliendelea kama kawaida! kwakuwa wana miundombinu bora inayo support aina hii ya elimu!

Watanzania tunapaswa kuamka na kubadili fikra, Tumezoea kukaa darasani sana, ndio mana tu wavivu wa kusoma vitabu! Ukisoma OUT hakuna namna utakwepa kusoma vitabu, sababu hakuna wa kukufundisha, zaidi ya kupewa course content na list ya vitabu vya kusoma!

Tukubali kupokea mabadiliko!
 
Ndio maana mnafeli interview za kazi sababu hamjui kujieleza au kuongea mnataka pia mjibu maswali ya interview kwenye karatasi
 
Huo Ni utani kwakweli

Nina jamaa zangu wamejiunga huko

Wanalalamika kuhusu huo utaratibu na mbaya zaidi wanalipishwa Ada nyingine ikiwa washamaliza kulipa Ada kamili ya mwaka husika

Hao jamaa wako vijijini huko hakuna network na wengine hata hio zoom hawaijui

Hiko chuo kinaleta utani

Kama wanataka face to face session wawaite kwenye vituo vyao wawafanyie hio ishu

Na kutaka walipe hizo session Tena ikiwa wamemaliza kulipa Ada Ni utapeli wa wazi wazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, point yako ni nini hasa, mbona hueleweki!

Ulianza na OREX, tumejitahidi kukuelezea vizuri umuhim wake, ukaelewa

Ukaja na issue ya rushwa kwa waalimu, kitu ambacho vyuo vingi hapa tz wana kashfa hizo, tena mpaka za ngono , nimakuomba uwasilishe pccb kama unaushahid

Sasa umekuja na issue ya kufungua Chuo! , sijajua hapa unataka nini juu ya kufungua chuo, elezea tuelewe nini unamaanisha.
Tumeambiwa korona imeisha kila kitu kiendelee Kama kilivyo

Ina maana korona iko OUT tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo Ni utani kwakweli

Nina jamaa zangu wamejiunga huko

Wanalalamika kuhusu huo utaratibu na mbaya zaidi wanalipishwa Ada nyingine ikiwa washamaliza kulipa Ada kamili ya mwaka husika

Hao jamaa wako vijijini huko hakuna network na wengine hata hio zoom hawaijui

Hiko chuo kinaleta utani

Kama wanataka face to face session wawaite kwenye vituo vyao wawafanyie hio ishu

Na kutaka walipe hizo session Tena ikiwa wamemaliza kulipa Ada Ni utapeli wa wazi wazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongozi, hutaki kukubali mabadiliko, hao jamaa zako walio kijijini mmewasiliana kwa kutumia nini?

Kulipa Ada mara mbili? nawe pia umekubaliana na hili?? mwanafunzi akubali kulipa ada mara mbili!? nae amekubali??

Nakuwa na maswali sababu nimeona hii post yako ni kama umeandika kwa ushabiki na sio uhalisia! hao wanafunzi waliolipishwa ada mara mbili wamechukua hatua gani? je , hawana nyaraka za malipo ya ada ya awali??

Pia kiongozi, OUT imekuwa ikitoa distance learning! hivyo unavyozungumza swala la Corona nashindwa kupata logic yako hasa ni nini!

OREX imeanzishwa ili kukidhi mahitaji muhimu ya kupima uwezo wa wanafunzi juu ya yale aliyojifunza kwa njia ya mazungumzo, nashangaa mwanafunzi anachoogopa ni nini hasa! mpaka sasa ivi sijui nini drawback ya hii njia, kwa sabab ni assessment kwa njia ya mazungumzo,

Juu ya matumizi ya application ya zoom, mkuu umesema hana mtandao kijijini, then hapo hapo hawezi kutumia zoom!! tuelewe kipi kati ya hayo mawili?
Nadhani mshauri huyo rafiki yako ajifunze kutumia zoom kama alivyojifunza kutumia whatsapp.
Nimeandika ivo kwakuwa, sababu alizotoa hazina uzito ukilinganisha na faida zinazopatikana katika matumizi ya mtandao husika.

Huyo rafiki yako (zako) ni muoga wa kuongea Kiingereza, anabaki kutoa lawama!

Nashangaa sana, kwa wewe unaelalamika juu ya elimu masafa inayotolewa na OUT lakini unasahau kuwa wanazuoni wengi hapa tanzania wamesoma kwa elimu masafa toka vyuo vya nje! nina ushahidi mkubwa sana katika taasisi zitoazo Elimu ya juu!

Mkuu, badilika, usichukue maneno ya mtu mmoja ukaja na hitimisho bila kautafiti kadogo, OUT, inahitaji ujipange hasa, na unasisitizwa kuwa flexible ili kuendana na aina ya elimu itolewayo hapo.
Vitu muhimu ni kuwa na
1. Muda
2. Simu janja (smartphone) computer, etc.
3. Flexible
4. Focused
5. Curious kujua matumizi ya apps za mawasiliano eg. youtube, moodle, zoom, whatsup etc etc

Hongera kwa Menejiment ya OUT kwakuendana na technologia ya kisasa
 
Habarini mihangaiko wana jukwaa,

Nawaleteeeni habari cha kushangaza kutoka Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) wao wamekuja na mpya kufanya mitihani kwa kuongea? Tunataka tuzalishe wataalamu wa Aina gani.

Mh Rais wetu ametangaza kufungua vyuo vyote hapo June ila kwanini hawa wenzetu wameng’ang’ania kuleta huu utani katika elimu?

Eti mwananfunzi Atafanya mtihani kupitia ZOOM . Wahusika embu ingilieni Kati hili swala huku ni kucheza na elimu yetu (pata picha hesabu unajibu oral are we serious?).

UPDATE: yani sasa wameamua mwanafunzi apewe maswali akae nayo then anakuja kuulizwa kwa ZOOM hivi wenzangu hamuoni tatizo hapa

View attachment 1497814
Ebana elimu ya Open nikajua rahisi kama mnavyosema, nimejiunga nasota sanaaaaa
 
Ebana elimu ya Open nikajua rahisi kama mnavyosema, nimejiunga nasota sanaaaaa
Mkuu, inabidi upambane, kama ni level ya Post graduate, make sure unafanya Mijadala (discussions) na wenzako walau hata mara mbili kwa wiki!

Hapo elimu sio rahisi kama watu wanavyo karirishwa, ni Elimu ya kiwango cha juu kabisana hakuna kukariri wala kupata maksi za kununua, maana huonani na waalimu labda mpaka iwe "face to face"
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom