Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) na utani katika elimu

Mkuu tatizo ni zoom au mtihani wanaoleta content haitoshi? Kwa uzoefu wangu oral exams ni ngumu kuliko written exams. Km content ipo poa mwanafunzi atakae toboa hapa atakuwa bora sana. Maana hairuhusu Vibomu hii.
Umeongea point sana. Kuna watu wana GPA za 5 hata kujieleza hawajui.

Wengine wana mpka PhD ila kujieleza au kuunganisha sentensi mbili au tatu za kiingereza hawawezi. Mfano ni mzee wa Chato.
 
Mzee_Londo.
Naona umehamaki na kusikitishwa na aina ya mtihani unaoenda kufanyika katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.

Umekuja na bandiko lako pengine bila kufanya utafiti kidogo juu ya nini maana ya Elimu Masafa/(Distance Education) lakini pia hujafanya utafiti wa kutosha wa namna Chuo hiki wanavyo fanya elimu watoayo kuwa ya viwango bora!

OREX ni moja ya assessment bora sana ya kumjenga mtahiniwa kujiamini na kuwasilisha core concepts of the subject or topic! kila somo lina theory! iwe hesabu au physics!

Na maswali ya OREX yanatungwa kuakisi aina ya mode of delivery! OPEN wana mjenga mwanafunzi katika nyanja zoote, iwe katika kuwasilisha kwa njia ya maongezi (Oral examination) au Mtihani wa kuandika (Written Examination)

Na moja ya faida ya Oral examination ni kujenga uwezo wa kujiamini kwa mwanafunzi katika kuwasilisha mada/jambo/au taarifa inayohusiana na eneo alilo bobea katika fani yake, iwe mbele ya viongozi, wananchi, vikao au seminar!

Nasikitika sana watu kuendelea kuwa na fikra moja ya uwasilishaji wa Elimu! watanzania tuamke! tunahitaji kusogea mbele, na kuachana na mitaala ya kizamani tuliyo karirishwa!

Leo hii baada ya Covid19 kuingia tz, baadhi ya ofisi ziliendesha vikao kwa njia ya Mtandao na hasa kwa hiyo ZOOM APP! na moja ya ofisi izo ni pamoja na ninayo fanyia kazi.

Naomba nikuambie tu, kiukweli bado tuko nyuma, haya mambo hatujazoea, ni mtihani mkubwa sana! unakuta mtu anapinga kuwa online hatuta jadili vizuri sabab hatuonani, hivyo hatuta zitendea haki agenda muhimu! akilini unatambua kabisa huyu bado yuko nyuma ya teknolojia.

OREX ni muhimu sana kwa chuo hiki kwakuwa kina wanafunzi wengi, lakini wanafunzi wako kila pande zote za nchi hapa Tanzania. Hivyo ni muhimu kurahisisha aina ya ku assess uwezo wa mwanafunzi hata wa yule aliyeko Idukilo.

Binafsi nimewapongeza sana kwa hatua hii muhimu na kiteknolojia ya kisasa.
Well said mkuu!
 
Wanafunzi wangu wazima? Jamani nawapenda sana na nina Wamiss sana. Namshukuru sana rais kwa kunifanya nijumuike nami nami japo kwa muda mfupi. Kwangu hili linaleta faraja sana. Maana kwa mfumo wetu si rahisi sana kuonana nanyi, japo hill ndo takwa langu. Hata hivyo nashukuru walau sasa nimeweza kuonana nangi kwa njia hii.

Ndugu wapendwa wanafunzi ulimwengu unapitia katika mabadiliko mengi na makubwa sana. Na sisi kama sehemu ya dunia hatuwezi kuyakimbia mabadiliko hayo.

Kila mabadiliko anapokuja kuwa kwa kawaida yanaambatana na uoga kwani hutuinguza katika ulimwengu ambao hatukuuozea, hata hivyo hatuwezi kuyakimbia mabadiliko ila kinachopaswa ni kuyakubali mabadiliko na kisha kupambana na changamoto zinazoambatana nazo.

Chuo Kikuu Huria cha Tanzania pia kinapitia katika mabadiliko mengi. Ni factor kubwa inayoamua mabadiliko ni swala la wakati. Daima dunia hairudi nyuma Huenda mbele. Chuo nacho huenda mbele pamoja na dunia.

Katika mabadiliko hayo chuo kimeamua kuwa sasa tutakuwa na OREX (UNIVERSITY ARAL EXAMINATIONS). Kwa vile ni kitu kipya kinaweza kuwashtua, wapendwa wanafunzi wangu nawahakikishia kuwa hii ni namna nzuri sana ya namna ya kufanya mitihani, ambayo mkisha anza mtakuja kunikumbuka kwa jinsi mtakavyoona inafaa.

Kwa mfano mtu hutalazimika kusafiri kuja centre kufanya mitihani. Utafanyia pale pale ulipo, pia utapewa maswali in advance kama 12 hivi na katika hayo utajibu, maswali kama mawili hivi. Hivyo utakuwa kwenye nafasi ya kujibu vizuri. Mitihani hii ina manufaa mengi. Utaassessiwa na mtu zaidiya mmoja wakiwa mazingira tofauti.

Hivyo wapendwa wanafunzi wangu naomba tusiiogope mitihani hii bali tujiandae kuipokea. Nasi tutakuwa tunaendelea kuwaelimisha juu ya mitihani hii na namna ifakavyoganyika

Ahsanteni sana. Drc Songwe
 
Tahadhari zidi ya COVID zinaweza kuchukuliwa hata kwenye chumba cha mtihani sio kwa mtu kufanya mtihani kwa ZOOM alafu msimamiz mmoja yupo mwanza mwengne Pemba na mtihani ni dakika 15 tu. Hivi unaelewa tunachotaka kutengeneza hapo

Kwanza kwa internet ya huko interior ni kutaka tu kumfelisha mwanafunzi 15 minutes zitaenda mpaka 1 hour mwanafunz mmoja
Nchi ina matatizo mengi sana hii mkuu tatizo ambalo awamu ya tano imeliibua ni kwamba tuna PhDs nyingi zisizo na maana kwa jamii.
 
Kama ni hivyo ataulizwa maswali yanayojibika orally. Na ndio maana wanatakiwa wawe na excellent quality control of the assessment process.
Mimi nina mashaka na hiyo quality control of the assessment process.
Ikiwa faulty hoja ya mtoa mada itakuwa na mashiko.
 
Interview na mtihani ni vitu viwili tofauti, Sio kila kitu kikifanywa na wenzetu sisi tuige. Kwa nchi yetu mfumo huu wa mitihan bado sana sidhan hata hao wahadhiri wanaufahamu wa huu mfumo, unaweza kuta hata training hawajapewa kinachofuata ni kuumiza wanafunzi
Nyie wabongo mbona huwa wazito sana wa kupokea mabadiliko ya teknolojia? Kuna muda mambo mengi tu yatabakia historia kama radio cassette
 
Rubbish indeed
Wanafunzi wangu wazima? Jamani nawapenda sana na nina Wamiss sana. Namshukuru sana rais kwa kunifanya nijumuike nami nami japo kwa muda mfupi. Kwangu hili linaleta faraja sana. Maana kwa mfumo wetu si rahisi sana kuonana nanyi, japo hill ndo takwa langu. Hata hivyo nashukuru walau sasa nimeweza kuonana nangi kwa njia hii.

Ndugu wapendwa wanafunzi ulimwengu unapitia katika mabadiliko mengi na makubwa sana. Na sisi kama sehemu ya dunia hatuwezi kuyakimbia mabadiliko hayo.

Kila mabadiliko anapokuja kuwa kwa kawaida yanaambatana na uoga kwani hutuinguza katika ulimwengu ambao hatukuuozea, hata hivyo hatuwezi kuyakimbia mabadiliko ila kinachopaswa ni kuyakubali mabadiliko na kisha kupambana na changamoto zinazoambatana nazo.

Chuo Kikuu Huria cha Tanzania pia kinapitia katika mabadiliko mengi. Ni factor kubwa inayoamua mabadiliko ni swala la wakati. Daima dunia hairudi nyuma Huenda mbele. Chuo nacho huenda mbele pamoja na dunia.

Katika mabadiliko hayo chuo kimeamua kuwa sasa tutakuwa na OREX (UNIVERSITY ARAL EXAMINATIONS). Kwa vile ni kitu kipya kinaweza kuwashtua, wapendwa wanafunzi wangu nawahakikishia kuwa hii ni namna nzuri sana ya namna ya kufanya mitihani, ambayo mkisha anza mtakuja kunikumbuka kwa jinsi mtakavyoona inafaa.

Kwa mfano mtu hutalazimika kusafiri kuja centre kufanya mitihani. Utafanyia pale pale ulipo, pia utapewa maswali in advance kama 12 hivi na katika hayo utajibu, maswali kama mawili hivi. Hivyo utakuwa kwenye nafasi ya kujibu vizuri. Mitihani hii ina manufaa mengi. Utaassessiwa na mtu zaidiya mmoja wakiwa mazingira tofauti.

Hivyo wapendwa wanafunzi wangu naomba tusiiogope mitihani hii bali tujiandae kuipokea. Nasi tutakuwa tunaendelea kuwaelimisha juu ya mitihani hii na namna ifakavyoganyika

Ahsanteni sana. Drc Songwe
 
Full nondo wakati marks zinauzwa “A” 250,000 wanafunzi wa MBA wanazinunua tu na hii OREX bila kuwepo external examiners kutoa vyuo vyengine mtapiga sana hela

Nimesoma comment yako kwa kurudia rudia!
Kumbe lengo lako halikuwa kupinga OREX, bali kuwasilisha habar ya takrima!

Pengine hili unanipa mashaka kama unafaham au unawafaham watu wanao chukua rushwa afu unakaa kimya! nadhan tatizo sio chuo bali wewe unae ficha kama kweli kuna waalimu wa aina ya 250,000 kama ulivyosema!

tofauti na yoote niliyo ongea hapo juu, ni kuwa unaonekana uko kwenye vita ya kibiashara, hongera sana! lakini huwezi fanikiwa kwa propaganda rahisi ivo, nenda kajipange tena!

Ukija humu unakutana na wabobezi wa fani mbali mbali! sio rahisi kidanganya kirahisi ivo!
 
Endeleeni kulindana takukuru taarifa mbona wanazo hii orex yenu ndo itawaweka bayana kweupeee

Mh Rais amefungua vyuo, hiyo covid ipo OUT tu? Msitetereshe elimu yetu kwa tamaa zenu
 
Endeleeni kulindana takukuru taarifa mbona wanazo hii orex yenu ndo itawaweka bayana kweupeee

Mh Rais amefungua vyuo, hiyo covid ipo OUT tu? Msitetereshe elimu yetu kwa tamaa zenu

Mkuu, point yako ni nini hasa, mbona hueleweki!

Ulianza na OREX, tumejitahidi kukuelezea vizuri umuhim wake, ukaelewa

Ukaja na issue ya rushwa kwa waalimu, kitu ambacho vyuo vingi hapa tz wana kashfa hizo, tena mpaka za ngono , nimakuomba uwasilishe pccb kama unaushahid

Sasa umekuja na issue ya kufungua Chuo! , sijajua hapa unataka nini juu ya kufungua chuo, elezea tuelewe nini unamaanisha.
 
Back
Top Bottom