Mzee_londo
Member
- Dec 5, 2018
- 46
- 99
- Thread starter
- #21
Ingekuwa ni chuo cha private TCU wangekuwa wameshafika Zamani sana, hatukatai mapinduzi katika elimu lakin yawe na uhalisia chuo kikuu huria kimekuwa kimbilio la wengi hasa wanachi wenye kipato cha chini Leo hii unamwambia mtu yupo ludewa mambo ya kufanya mtihani online sio tu internet pengine hata laptop hana
Pia hii oral asssessment ni very simple hata mbumbumbu anaweza kuelezea nadharia ya kitu kimsingi ni confidence tu inamfaulisha mwanafunzi. Tuache utani na elimu yetu aiseeee
Sidhan kama hili swala Mwenyekiti wa council Prof Mukandala anajua hawezi kuruhusu ujinga huu eti kisa COVID. Ndomana ma Daktari was pale wengi vihio wazee wakupeana vyeo