Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) na utani katika elimu

Mzee_londo

Member
Dec 5, 2018
46
99
Habarini mihangaiko wana jukwaa,

Nawaleteeeni habari cha kushangaza kutoka Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) wao wamekuja na mpya kufanya mitihani kwa kuongea? Tunataka tuzalishe wataalamu wa Aina gani.

Mh Rais wetu ametangaza kufungua vyuo vyote hapo June ila kwanini hawa wenzetu wameng’ang’ania kuleta huu utani katika elimu?

Eti mwananfunzi Atafanya mtihani kupitia ZOOM . Wahusika embu ingilieni Kati hili swala huku ni kucheza na elimu yetu (pata picha hesabu unajibu oral are we serious?).

UPDATE: yani sasa wameamua mwanafunzi apewe maswali akae nayo then anakuja kuulizwa kwa ZOOM hivi wenzangu hamuoni tatizo hapa

Adjustments.jpg
View attachment 1497814
 
Waswahili hatujui tunataka nini!!

Tunalalamika kuwa vyuo vimefunguliwa wakati hatujui kama corona imepungua, OUT wamekuja na suluhisho kuepuka mikusanyiko bado tuna lalamika!

Ndiyo, inawezekana hesabu kufanywa, unapewa swali, una note book (kama darasani tu) chukua data, solve swali, wape jibu wasimamizi...
 
Tahadhari zidi ya COVID zinaweza kuchukuliwa hata kwenye chumba cha mtihani sio kwa mtu kufanya mtihani kwa ZOOM alafu msimamiz mmoja yupo mwanza mwengne Pemba na mtihani ni dakika 15 tu. Hivi unaelewa tunachotaka kutengeneza hapo

Kwanza kwa internet ya huko interior ni kutaka tu kumfelisha mwanafunzi 15 minutes zitaenda mpaka 1 hour mwanafunz mmoja
 
Nilivofahmu mimi hio OREX tangu hapo mwanzoni haukuwa mthani wa kuandika kwenye makaratasi bali ulikuwa ni kama mfano wa interview hivi. ORAL FINAL EXAMINATION.

Sasa kama ni ivo, tatizo liko wapi ukifanywa kwa njia ya Video Online?

Hamujui kama wenzetu nje uko kabla ya Corona walikuwa wanafanyiwa interview via Skype tu?
 
Bora umemwelimisha ndg.
 
Interview na mtihani ni vitu viwili tofauti, Sio kila kitu kikifanywa na wenzetu sisi tuige. Kwa nchi yetu mfumo huu wa mitihan bado sana sidhan hata hao wahadhiri wanaufahamu wa huu mfumo, unaweza kuta hata training hawajapewa kinachofuata ni kuumiza wanafunzi
 
Interview na mtihani ni vitu viwili tofauti, Aisha I kama kila kitu kikifanywa na wenzetu sisi tuige. Kwa nchi yetu mfumo huu wa mitihan bado sana sidhan hata hao wahadhiri wanaufahamu wa huu mfumo, unaweza kuta hata training hawajapewa kinachofuata ni kuumiza wanafunzi

Mtihani ni wa ORAL. Wa mazungumzo. Kwaio kufanywa kwa njia ya Online sio tatizo hata kidogo.

Huyo lecturer au professor anaefanyisha hio mitihani akiwa hajui kutumia Online Video Call apps, basii tangu hapo mwanzo hakutakiwa kuwa mwalimu wa chuo.

Kufungua Skype na kupiga simu haihitaji training mkuu kama wewe ni mwalimu wa Chuo.

And by the way, sisemi tuige kila kitu. Lakini unapokuja kukejeli matumizi ya ndege katika usafiri na kuuona ni ujinga, basi utakuwa na matatizo
 
Mtihani ni wa ORAL. Wa mazungumzo. Kwaio kufanywa kwa njia ya Online sio tatizo hata kidogo. huyo lecturer au professor anaefanyisha hio mitihani akiwa hajui kutumia Online Video Call apps, basii tangu hapo mwanzo hakutakiwa kuwa mwalimu wa chuo. kufungua Skype na kupiga simu haihitaji training mkuu kama wewe ni mwalimu wa Chuo.

And by the way, sisemi tuige kila kitu. Lakini unapokuja kukejeli matumizi ya ndege katika usafiri na kuuona ni ujinga, basi mjinga utakuwa wewe.

Adjustments.jpg
 
Oral exams kama concept haina tatizo. Kinachotakiwa ni kuwa na miundombinu na mifumo dhabiti (quality control). Changa moto zipo hasa kama wananfunzi ni wengi na wakufunzi ni wachache.

Lakini kama chuo kimejiandaa hakuna matata. Vyuo vya afya na veterinary ni kawaida kuwa na oral exams zikiambatana na written pamoja na practical exams.
 
Back
Top Bottom