Mzee_londo
Member
- Dec 5, 2018
- 46
- 99
Habarini mihangaiko wana jukwaa,
Nawaleteeeni habari cha kushangaza kutoka Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) wao wamekuja na mpya kufanya mitihani kwa kuongea? Tunataka tuzalishe wataalamu wa Aina gani.
Mh Rais wetu ametangaza kufungua vyuo vyote hapo June ila kwanini hawa wenzetu wameng’ang’ania kuleta huu utani katika elimu?
Eti mwananfunzi Atafanya mtihani kupitia ZOOM . Wahusika embu ingilieni Kati hili swala huku ni kucheza na elimu yetu (pata picha hesabu unajibu oral are we serious?).
UPDATE: yani sasa wameamua mwanafunzi apewe maswali akae nayo then anakuja kuulizwa kwa ZOOM hivi wenzangu hamuoni tatizo hapa
View attachment 1497814