Hata kama ni kukosoa, tukosoe sehemu zinazotakiwa kukosolewa.
Kuhusu "course" zinazotole kua hazibadiliki, sio sahihi. "Courses" zinabadilika sana hasa kwenye mada ili kuendana na dunia ya sasa. Ukiangalia material ya miaka ya nyuma katika kozi fulani, ni tofauti na ya leo. Pia degree programs za kileo na zenye tija zinapatikana pale. Kila mwaka ukiangalia tcu guide book, unaona degree piograms mpya na zenye tija zimeongezwa. Sjua ustatic uko wapi ktk hilo.
Maabara na mitambo ya kisasa ipo udsm.
Kuhusu maktaba, taja maktaba ambayo wewe unaiona ni bora zaidi ya ila ya udsm.
Hata hivyo, chuo kina mapungungufu mengi na hayo ndio yangetakiwa kutajwa.