Mwandwanga
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,057
- 1,573
Ndio maana nikakuandikia labda Yesu ashuke, huyu aliyegomewa Havard hasira anakuja imalizia kwa vijana wengine kama hao toka kwenye hivyo vyuo tajwa.baadhi ya vyuo vina mtazamo huo kuwa watu wanaowazalisha wao ni bora zaidi kuwaajiri kuliko vyuo vingine,kitu ambacho si kweli maana wanakosa exposure toka nje,hence to remain static!!
mfano: SHule ya Sheria UDSM wanatoa LL.B na BALE huyu wa BALE hata apate GPA ya 5 kubakizwa ni ndoto kwake, wakati huo huo mtu wa LL.B anabakizwa kwa ajili ya wanafunzi wa BALE😀
hii ndio UDSM CHUO KIKUU CHA TAIFA