Chuo Kikuu Dar es Salaam kinatia aibu

Chuo Kikuu Dar es Salaam kinatia aibu

Ubishi huu hauwezi kuisha vinginevyo vyuo vikuu vyote viwe na mtihani mmoja wa mwisho hapo ndo atajulikana nani mkali ndo maana kwa shule za sekondari hamna ubishi wa shule gani ni kali maake wanafanya mtihani mmoja na anaye saiisha ni mmoja kwa maana ya baraza la mtihani la taifa.
 
chemical processing architecture na petroleum ndo weny one tu pale ud wengine had three na two wapo
 
chemical processing architecture na petroleum ndo weny one tu pale ud wengine had three na two wapo
ww jamaa acha uongo,, 2011 jamaa zangu walienda kusoma chemical processing wakiwa na div 3..n.b.usinibishie angalia admssion za huo mwk na matokeo yapo.
 
Zile hall 5 na hall 2 IPO Siku zitaanguka wakati watu wamelala mle
 
ww jamaa acha uongo,, 2011 jamaa zangu walienda kusoma chemical processing wakiwa na div 3..n.b.usinibishie angalia admssion za huo mwk na matokeo yapo.
ww jamaa acha uongo,, 2011 jamaa zangu walienda kusoma chemical processing wakiwa na div 3..n.b.usinibishie angalia admssion za huo mwk na matokeo yapo.
mi nasemea mwaka huu we unasemea mwak 2011
 
Zile hall 5 na hall 2 IPO Siku zitaanguka wakati watu wamelala mle
Huwezi kuamini kulikuwa na kunguni wa kuua mtu kwenye hizi halls na ilibidi wafyumugeti mara kadhaa. Sijui kunguni wameisha?!
 
we acha tu,kuna jamaa angu aliachwa hivihivi kwenye u tutorial asistance kisa katoka udom japo alifunika kwenye usaili kuliko udsm leavers wote
Acha uongo wewe ulijuaje kua alifunika wakati wewe hukuwai kusimamia huo usaili...Mdogo wangu kamaliza UDOM na GPA ya 4.3 lkn kuna kozi tatu amepewa A zote huku hakuwai kusoma hizo kozi....aaah UDOM bhana
 
Mkuu wew ulisoma chuo gani? Tuanzie hapo three?
Nimejiunga udsm na classmates wangu wengi tu waliokuwa na three mpaka mda huu naandika wana shahada za uhandisi, ualimu wa sayansi, zoolojia, uhifadhi viumbe na wanyamapori kutoka chuo kikuu Dar es Salaam! Ila kwa fani za sayansi ya jamii,biashara, habari mwisho two tena wenye two wacache sana!
 
niliwahi kuwa field na wanachuo kutoka hapo UDSM, tobaaaaaaa.....hata kuandika Lesson Plan walishindwa. haikuishia hapo. alikuja mwanachuo kutoka UDSM aliombo kujitolea kwenye Makumbusho, Tukamwambia akaandae Project plan... tobaaaaaa ilikuwa balaaa. na mwisho kazi ikawa kwenye research field. mtu hajua how to collect Data. na mtu kasoma UDSM na Anasomea sijui Masters hapo hapo UDSM. Tunahitaji mabadiliko
 
Ukwl chuo hcho kwa sasaa limebak jnaa kwan wanafuz wa udsm wanatembelea tu jna ila kiuhalisia chuo cha taifaa na bilaa unafk udom wame improve sn na watakpta chuo hk so mda in national ranking and international udsm they blv in ruling through its her names
 
Hapo kwenye vitabu, wanafunzi wa UD hawapendagi kusoma vitabu.. Huwa wako bize na madesa...
 
Udom soon wl b ze leading university in east Africa kpo powa licha yaa u cccm
 
Acha uongo wewe ulijuaje kua alifunika wakati wewe hukuwai kusimamia huo usaili...Mdogo wangu kamaliza UDOM na GPA ya 4.3 lkn kuna kozi tatu amepewa A zote huku hakuwai kusoma hizo kozi....aaah UDOM bhana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu ya kweli haya lakini au chumvi?
 
Kutoka kwa maoni ya wachangiaji.

1. Udsm ni chuo kinacho pinga mabadiliko.

2. Kozi nyingi zimepitwa na wakati na kozi mpya zenye uhitaji ktk soko hazifundishwi.

3. Chuo kimekosa ubunifu ktk maeneo yote hasa ktk swala la mapato.

4. Miundo mbinu ni mibovu na haifai kwa matumizi ya wanafunzi.

5. Damu mpya haina nafasi ktk kuleta mabadiliko ya kweli.

6. Hakuna vitabu vya kutosha.

7. Tafiti za udsm ni tasa kwa maana hazizai chochote.

8. Utawala ni kama umekata tamaa na kuishi kwa liwalo na liwe mradi siku ziende.

9. Chuo kina ubaguzi sana hasa kwa watalaam wanao toka vyuo vingine.
10. Chuo kimepoteza mvuto kielimu.

11. Rushwa ya ngono kwa wanafunzi ili wafaulu mitihani.

12. Matumizi mabaya ya fedha hasa kwenye miradi hewa na mingine isiyo na ubora ukilinganisha na fedha zinazo tumika.

mwanzo wa thread.
UDSM ni jipu na lisipo angaliwa litapasuka lenyewe . Sijui kama kuna utawala wenye dhamira ya kweli ya kuiletea Tanzania maendeleo au kuna wapiga pesa wanao furahia kutumia VX , V8 na kuchupokea mshahara kila mwezi. Hadhi ya chuo haifanani na mazingira halisi yaliyopo, sijui watu wanasomaje hapo udsm.

Mfano
Ivi udsm pamoja na kuwa chuo cha kwanza kufundisha computer science hapa nchini, kwanini imeshindwa kuwa na website inayo lingana na hadhi yake. Website haina content, ipo offline most of the time, content zake nyingi ni static, poor design etc

Nikiangalia vyuo vya level yako kama Nairobi, Makerere etc vina website nzuri zimeshiba information. Labda wahusika kama wapo hapa watwambie shida ipo wapi?

Mfano kwa muda wa wiki 3 sasa website haipo hewani, ivi wahusika wanalionaje hilo kwa nyakati za leo ambazo information ndio mtaji wa biashara huwezi kaa gizani na ukajisikia vizuri, Mnajua mmepoteza fedha kiasi gani kwa kukaa offline?

Inavyo onekana udsm ni chuo ambacho kipo static sana. hakibadiliki, hakitaki mambo mapya, sijui ni uzee wa staff au ukiritimba usio na maana. oneni wenzenu wa nairobi na makerere mambo yao yapo so dynamic hata machango wao ktk jamii unaonekana mfano mzuri ni basi linalo tumia jua lililo zinduliwa juzi.

UDSM ukiacha kuandaa wana siasa (jipu) ambao ndio wamelipoteza taifa hili na bara la africa, hakuna kitu cha maana kilicho fanyika ktk maeneo mengine. Miaka yote wasomi wamekaa hapo udsm nadhani kazi kubwa ni kupokea mishahara, matokeo ya research yapo wapi?

Chuo kimepoteza mvuto kabisa, zamani kilikua chuo pendwa africa, watu walijisikia uoendeleo kusoma udsm, leo wanaunzi wangapi toka nje wanasoma hapo udsm na hao waliopo wanajisikiaje?

Ukiangalia vyuo vya jirani zetu tuu hapo karibu wapo vizuri na wamejipanga, kozi zao wanaenda na wakati na kozi zinazo endana na soko la ajira. udsm kozi zilezile miaka nenda rudi, hii ni shida. Madudu ya chuo hiki ni mengi huwezi kuyamakiza kwa siku moja.

Binafsi wahusika wachukue hatua, udsm ni chuo chenye hadhi na kinachukua sura ya taifa letu.

Ipo siku nafasi hii itachukuliwa na chuo kingine kwa uzembe kama huu

tabutupu.
Changamoto umeziona na kuzieleza, ukiwa kama msomi unashauri nini kifanyike sasa, kuliona tatizo na kuishia kupiga kelele bila kuja na mawazo ya nn kifanyike hilo nalo ni jipu.
 
Back
Top Bottom