juan moses
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 2,403
- 2,484
Picha Linaanza School Of Law First Class Kuipata Mpaka Ukatike Shingo. Inasemekana Eti,Wa Mwisho Kuipata Ilikua Mwaka 1994,Na Ndiye Dean Kwa Sasa...
Hiyo siyo UDSM tu hata UDOM wanaajiri wa kwao kwanza. Kabla hawajapata graduates wao ndo walikuwa wanachukua toka vyuo vingine.Haaaaaa haaaaaa haiji kutokea Mkuu............................. labda Yesu arudi
Jamaa c ulijuaje km huyo jamaa yko alifunika ktk usaili,au ulicmamia ww matokeo ya usaili?we acha tu,kuna jamaa angu aliachwa hivihivi kwenye u tutorial asistance kisa katoka udom japo alifunika kwenye usaili kuliko udsm leavers wote