Chuo Kikuu Dar es Salaam kinatia aibu

Chuo Kikuu Dar es Salaam kinatia aibu

Kwanza tueleze kuchaguliwa lini na kakikuta katika hali ipi na nani wa kabla yake?

Halafu soma hii :

A chancellor is a leader of a college or university, usually either the executive or ceremonial head of theuniversity or of a universitycampus. In most Commonwealth (or former Commonwealth) nations, thechancellor is usually a titular (ceremonial figurehead) non-resident head of theuniversity.

Wewe wacha porojo. Soma university of Dar Es Salaam Incorporation Charter of 2007. Possibly utaelewa majukumu ya Chancellor. Tatizo hizi in conversation zinazohitaji intellectual base siyo Ujanja ujanja WA kishabiki.
 
Kwa chuo kikubwa kama UDSM n.k. kuendelea kuitegemea Serikali Kuu kufanya renovation kwenye vyoo ni utahira wa kiwango cha PhD.

Kama ningekuwa VC ningefanya yafuatayo badala ya kuendelea kusubir fedha za kukarabati vyoo zitoke hazina kuu.

1. Kutumia rasilimali zilizopo vizuri na kwa weledi. Kwa mapato yote ya ndani ningetenga asilimia kadhaa kukarabati miundo mbinu ya umuhimu kama vyoo, lecture halls, barabara na kuhakikisha mawasiliano ndani ya chuo yanakuwepo muda wote.

2. Alumni Mobilization
Chuo kama UD kina alumni all over the world. Na kuna ambao wapo tayari kukisupport chuo kisongembele. Ningehakikisha wote waliosoma UD wanakuwa na platform ya pamoja na kuanzisha mfuko maalumu wa maendeleo ya UD.

3. Matumizi yenye Nidhamu
Haingii akilini chuo kinakuwa na V8s ambazo ni gharama kuzinunua na kuziendesha halafu unakuta wanafunzi wanategemea kwenda msalani mcity. Ningebana matumizi na kufuta matumiz yasio ya lazima ili kinachobaki kikaboreshe UD kwa faida ya wengi.

4. Bulk Purchasing
Kwa mafuta ya magari, stationaries, na vitu muhimu vinavyotumika chuoni kila siku. Hii itasaidia kusave kwenye manunuzi.

Me naamini kabisa kwa hivi vyuo vyetu vikubwa vikiamua kujiendesha venyewe vinaweza kabisa. Vina Rasilimali (Watu & Asset) nyingi sana.

Uwezo Vinao, Sababu Vinayo, Nia_________
 
Hii ndio Tanzania taasisi za umma zipo kama yatima hazina muangalizi mwenye uchungu zaidi ya kuwa vichaka vya wapugaji tatizo kubwa sisi watanznia huwa hatunaga plan for future utakuta kiongozi kufanya jambo lenye muendelezo inakua ngumu
 
Hii ndio Tanzania taasisi za umma zipo kama yatima hazina muangalizi mwenye uchungu zaidi ya kuwa vichaka vya wapugaji tatizo kubwa sisi watanznia huwa hatunaga plan for future utakuta kiongozi kufanya jambo lenye muendelezo inakua ngumu
Vyeo vya kupeana, vyuo vinatakiwa vijitegemee kwa zaidi ya asilimia 90 mbona private universities zina fanya vizuri.
 
Gpa ya 5 ya udom,saut,mzumbe na uchafu mwingine wa aina hyo ni sawa na Gpa ya 2.0 ya udsm.asa ni jishangae wewe unaesema cjui mshkaji wako aliachwa,hayo mengne ni changamoto za maisha tu.
 
Gpa ya 5 ya udom,saut,mzumbe na uchafu mwingine wa aina hyo ni sawa na Gpa ya 2.0 ya udsm.asa ni jishangae wewe unaesema cjui mshkaji wako aliachwa,hayo mengne ni changamoto za maisha tu.
acha matusi wewe, gpa ndio mdudu gani, hii ndio inawaloga
 
hakuna library kubwa n yenye vitabu vingi zaid ya udsm

Kweli Library ya UDSM ni kubwa kupita zote Tanzania. Lakini ipo katika hali mbaya sana kama nilivyoeleza, makala za siku nyingi sana, uchache na uchakavu

Mimi siyo Mkutubi lakini nimejifunza kitu kimoja muhimu. Vitabu vinaharibika haraka sana vikiwekwa chumba ambacho hewa ya joto kutoka nje inaingia moja kwa moja. Vitabu vinakuwa brittle na kuwa na rangi ya Old Khaki. Ni muhimu vitabu vime kwenye chumba ambacho ni air conditioned.
 
Hicho chuo kila kitu ni kibovu na kimepitwa na wakati kwa sasa.

Panahitajika utawala wenye exposure ya hali ya juu kupaweka sawa.
Unaongea pasipo kufikiri! UDSM bado tupo na excellence kama kawaida, nadhani cha msimgi ni maboresho zaidi
Alijuaje kama kafunika kuliko wote?
Huyo hawajui UDSM leavers!
Ila vyoo VYA udsm mmmmmh! nàogopa kuandika mmmmh!
Unaogopa nini andika tujue unamaana gani halafu nyie ndo wataalamu wa kubebana matokeo yakeHalafu we
Kwanza tueleze kuchaguliwa lini na kakikuta katika hali ipi na nani wa kabla yake?

Halafu soma hii :

A chancellor is a leader of a college or university, usually either the executive or ceremonial head of theuniversity or of a universitycampus. In most Commonwealth (or former Commonwealth) nations, thechancellor is usually a titular (ceremonial figurehead) non-resident head of theuniversity.
wewe Faiza unaonekana unahasira sana na UDSM! sisi bado tupo na excellence is maintained.Sidhani kama ulisoma au unasoma UDSM!
 
mkumbuke na sewage system pale bondeni pananuka baada ya cafteria pananuka mnoo.
 
GPA & Performance are negative correlated facts!!
 
Usiseme udsm institute of Adult education ni jipu lililoiva loan officer anafanya mambo kwa kujisikia mnaweza saini boom mkakaaa mwezi ndo mnalipata najuta mjomba wangu kusoma hapo
 
Nadhani anamaanisha hivyo!!

Kikwete ameacha watu wanamiliki majumba, magari, mabiznes ya kila aina, mapesa kedekede, huduma za kijamii km usafiri,watu Wana magari kibao mpaka barabara hazitoshi mjini na kusababisha foleni, bidhaa km sukari, nguo nk zimejaa tele unanunua utakacho,

Ameacha watu mnajiachia kutoa maoni yenu mitandaoni km jamiiforums na kuiponda serikali, etc etc

Lakini mwl aliacha watu wakipanga foleni kwenye maduka ya ugawaji kutwa nzima ili wauziwe kilo moja ya sukari, wakina mama walikuwa wakivaa kaniki na matenge ya kaungua kwani nguo hazikuwepo, watu walitembea pekupeku na watoto makalio nje,

Aliacha watu wanakaa stand ya basi masaa Sita wakisubiri UDA ambalo lilikuwa moja tu kila ruti, Mtu unalisubiri UDA kariakoo litoke mbagala ndo lirudi kariakoo ili apande! [emoji1] [emoji85]

Aliacha watu wanaogopa hata kununua baskeli kwani mfumo wa ujamaa na ujima ulikataza private ownership of property,

Aliacha watu ni waoga wasioweza kuikosoa serikali na kutukana viongozi wa nchi km ilivyo sasa nk

Kutokana na tofauti hizi huenda mtoa Mada ana maanisha hivyo japo sina uhakika!!
Mkuu, I don't agree with this kind of analysis!!
 
Website ni muhimu.

Lakini kuna vitu vingi vinavyokera UDSM na huenda vyuo vyote viko hivyo:
1. Chuo hakina Library ya maana
2. Walimu hawafundishi - wengi wao wapo kwenye miradi yao. Uhuru kwenye hili umezidi mno. Mara kadhaa kuna wanafunzi wamekuja kuniomba msaada wa dissertations zao. Ni aibu aibu aibu. Karibu wote wanalalamika kuwa Supervisors wao hawaonekani.
3. Chuo hakina Library ya maana. Vitabu ni editions za miaka nenda rudi na vimepauka kama nini. hili ni suala ambalo serikali inahusika moja kwa moja.
4. Kuchoka kwa majengo na barabara (driveways) - Hili ni suala la serikali. Serikali imeendelea kujenga vyuo vipya bila kuimarisha vilivyopo.
5. etc.
Mkuu nadhani hakuna ulazima wa serikali kuingilia majukumu ya kununua vitabu vya maktaba wakati chuo kinaingiza mabilioni ya fedha kila mwaka,
Chuo kinaweza tumia hizi pesa Ku upgrade miundombinu yake,
Ukiangalia kwenye ranks udsm inalinganishwa na vyuo bora kabisa Africa kama university of cape town na u university of KwaZulu Natal ambavyo vina miundombinu ya kisasa mno, kiukweli udsm inatuaibisha,
Walimu wa udsm ukiwaskia wanajisifu madarasani utadhani ni kina newton wakati miongoni mwao ndio wanagawa marks kwa penzi na wengine wanashika wanafunzi coz of chuki binafsi,

Udsm inahitaji flexibility,
Udsm inahitaji Ku upgrade miundombinu yake,
Udsm inahitaji kutoa elimu bora, fair education..
Nafikiri kuna haja ya kuwalipa vizuri pia walimu wake ili wafocus kudeliver material kwa wanafunzi badala ya kuwa busy na miradi yao kama chuo cha ardhi..

Waige mfano wa college ya Informatics ya udom.
 
Back
Top Bottom