Chuo Kikuu Dar es Salaam kinatia aibu

Chuo Kikuu Dar es Salaam kinatia aibu

Tuliosoma pale miaka kadhaa ya nyuma najihisi furaha na hata ukiulizwa uligraduate wapi yani haufikirii Mara mbili ni kutaja tu udsm! Lakn ukweli utakuweka huru, udsm inahitaji overhaul, maana.....hata product za siku hizi......unakutana mtu anakwambia ni product ya udsm, lakini very substandard! Pale kuna jibu tena la usoni.

Well said. We are proud of our past but we have serious reservations with what we see today apart from the well maintained grounds
 
Lugha sio kipimo cha usomi....kuna maprofesa wengi hawana ile fluently English. Unadhan pale ni English medium school ?
Pima vitu vingine na sio lugha,

I don't agree with you. If you were taught in English and you used English books, etc. How will I know that you you understand what you were taught or read if you cannot show mastery of the language?
 
Hata kama ni kukosoa, tukosoe sehemu zinazotakiwa kukosolewa.
Kuhusu "course" zinazotole kua hazibadiliki, sio sahihi. "Courses" zinabadilika sana hasa kwenye mada ili kuendana na dunia ya sasa. Ukiangalia material ya miaka ya nyuma katika kozi fulani, ni tofauti na ya leo. Pia degree programs za kileo na zenye tija zinapatikana pale. Kila mwaka ukiangalia tcu guide book, unaona degree piograms mpya na zenye tija zimeongezwa. Sjua ustatic uko wapi ktk hilo.
Maabara na mitambo ya kisasa ipo udsm.
Kuhusu maktaba, taja maktaba ambayo wewe unaiona ni bora zaidi ya ila ya udsm.
Hata hivyo, chuo kina mapungungufu mengi na hayo ndio yangetakiwa kutajwa.
Mkuu kozi nyingi sana hazifundishwi hapo udsm kutokana na kuganda na vikozi vya zamani.
 
wao wataendlea kuwa static kwani hata walimu wao ni walewale wa udsm,muce au duce na sua kidogo....! ukienda zako na application toka udom,mzumbe nk utaishia kufanya interview tu hata kama una GPA ya 5,very stupidy!!
Hivyo vyuo vyenu mnapewa maks ili muonekane mnaGPA kubwa pole kijana
 
Mkuu umeongea point nyingi mno. Kuna wazee pale udsm wanaona wao ndo hujua kila kitu, ukiangalia Elimu yake ya kuunga Unga diploma mpaka PhD, wengi wao wamekalili madude so wanawaforce nanyi mkalili.
CONAS inaongeza kwa ukiritimba na uonevu haswa Chem department hawa jamaa wamenicheleweshea kuanza maisha kwa kunisomesha degree miaka minne
Yeah umeongea ukweli hasa hawa jamaa wa chem depertment wamezidi unoko
 
LLB coverage yake ni kubwa mno, unadhan mtu wa BALE anaweza kufundisha LLB??

By the way, BALE wanasoma 3yrs tu lakini LLB wanapiga 4yrs plus 1yr of law school,

BALE wanasoma law enforcement tu basi, kifupi Hawa ni law enforcers ambao actually ni mapolisi officers km OCCID, OCD etc.

Mtu wa BALE hawez kufundisha LLB kamwe!! Ila wa LLB anafundisha BALE, kwake ni kama module tu!

kwa baadhi ya kozi za law tu...ndio maana walimu wanaofundisha coz za law enforcement kabisa kama criminal investigation,financial crimes and cybercrimes inabidi waazimwe polisi na TCRA.....public administration wanatoka COHU....pschosocial ni walimu wa psychology pale udsm...logstic wanatoka department of mechanical engineering na tecnomathematics wanatoka math dpt....law enforcement ni multidisciplinary course haiwezi kufundishwa na mtu wa llb au bale pekee inahitaji watu tofauti tofauti kutoka maeneo mbalimbali mfano nitakupa this semester tunasoma course tatu tu kutoka kitivo cha sheria...criminal law and procedure...juvenile justice law and international humanitarian law ila nyingine zote ni nje ya kitivo na mtu wa llb hawezi kufundisha...nadhani umejifunza kitu maana umepost ukiwa hauna taarifa kamili kuhusu bale...BALE ni tofauti kabisa na Llb huwa tunaifananisha na Llb kwa kuwa host wake udsm ni school of law ila in reality ilistahili ifall kwenye police science....criminology studies na vitu kama hivyo.
 
Nafikiri mtoa uzi alikuwa na mengi ya moyoni kuhusu udsm sema ameamua kulianzisha kwa kigezo cha tovuti kuwa down kisha akafunguka na mengineyo.
Je ni kweli asilimia kubwa ya miundombinu imechakaa? Ndio, maji taka kutiririka hovyo, nyufa kwenye majengo, thamani za madarasani kuchoka.nk
Zamani walemavu wanaoishi hall 7 floor ya chini, asilimia kubwa walipewa bajaji na msaidizi ambae huwa ni mwanafunz mwenzake. Huduma hiyo ilikata.
Kuhusu kozi zitolewazo kuwa updated, wale wa computer science ndio shida, dogo anakuja kwenye interview unamwambia tengeneza simple mobile app ya software hii anajibu hatujasoma.
Anyway, nafikiri wahusika wajipime.
 
Nafikiri mtoa uzi alikuwa na mengi ya moyoni kuhusu udsm sema ameamua kulianzisha kwa kigezo cha tovuti kuwa down kisha akafunguka na mengineyo.
Je ni kweli asilimia kubwa ya miundombinu imechakaa? Ndio, maji taka kutiririka hovyo, nyufa kwenye majengo, thamani za madarasani kuchoka.nk
Zamani walemavu wanaoishi hall 7 floor ya chini, asilimia kubwa walipewa bajaji na msaidizi ambae huwa ni mwanafunz mwenzake. Huduma hiyo ilikata.
Kuhusu kozi zitolewazo kuwa updated, wale wa computer science ndio shida, dogo anakuja kwenye interview unamwambia tengeneza simple mobile app ya software hii anajibu hatujasoma.
Anyway, nafikiri wahusika wajipime.
Kifupi cha maandishi yako ni "vihiyo" kwa jina la mtaani ni "viilaza"
 
Udom iko vizuri saana, ukitaka utam wa ngoma ingia ucheze,, ni ukweli usio fichika Udsm miundombinu mibaya mno, nilienda kumtembelea rafiki yangu pale kiukweli nilishangaa ukienda chooni looh yaani khaaaaa pachafu my, majengo yamechakaaa kwelikweli sio siri nilimshukuru mungu kwa kutochahuliwa pale licha ya kuwa na ufauru mzuri,,, Udsm inabebwa na ukongwe wake Lakin hakuna lolote jipya pale, hata wanafunz wake ni normal saana na wamejaa sifa za kijinga eti utakuta mtu anajisifia yeye ni wa Udsm yaani hicho ndo walichobaki nacho utazani Udsm ni mbinguni,, poleni saana wenye imani hiyo na kusifia vyuo mnavyo soma ila mkija mtaani Hali inakuwa tete kwa wote bila kujali we ni wa MUCE, UDSM UDOM, SAUT, etc. Afu hoja ya kusema UDOM ni ccm ni ujinga uliopitiliza maana kila chuo kina wanachama aidha wa, Ccm, CHADEMA ama CUF ni aibu sana unajiita msomi halafu unabwabwaja tuu bila logic kisa ushabiki usio na maana, all in all karibu UDOM chuo safi, mazngira safi, walimu safi elimu safi (ukijfanya mla bata DISCONTINUE rafiki yako) tatizo wengine mnakimbilia udsm Ili mkangalie jiji Hahaha acha niende lecture !!!!! Wale mnajisfia vyuo tutakutana mtaan
 
BALE ni Bachelor of Arts in Law Enforcement, yenyewe inahusika na Law Enforcement tuuu,

Watu wote waliosoma LLB wanasoma law enforcement ndani ya kazi yao, hivyo mtu aliyehitimu LLB anaweza kufundisha BALE kwani kwake hiyo BALE ni km topic tu ambayo tayari ameshisoma,

Kituko kingine hiki hayo nakutajia list ya cozi hapa halafu unijibu LLb mnaisoma wapi...
1.Forensic Science.... Forensic toxicology, DNA, wounds,
2. Fire arms management... Proliferation of SALW, transport,storage and disposal of weapons, handling of explossives, kwenda range.
3.logistic.... Inventory management, transportation,supply chain management,
4. anti-terrorism..... Detecting, insurgency, suicide bombers, investigating, psychological warfare
5. Financial crimes... Detecting, investigating, dealing with insurance, mortgage, frauds, counterfeits negotiable instruments.
6. Cybercrimes.... Investigating, handling of physical, digital and cloud evidence, dealing with virtual private networks.
7. Tecno-mathematics....application of Probability, logic, differentiation, sets, function in law enforcement.
8. Public administration
9.psychosocial studies
10. Leadership skills.
11. Criminal investigation.... Ballistic investigations, gun wounds, handling of physical evidences.
12. Road traffic investigations.
13. Intelligence and law enforcement.
14.public health.

Tuanze na hizo.... Nimesoma course zote hizo na hamna mwalimu wa kitivo cha sheria aliekuwa na vigezo vya kufundisha hizi course ingekuwa rahisi ivyo hivi unadhani kitivo wangekubali kuingia gharama za kuomba walimu kutoka....

CoET - mechanical engineering salute kwa Miss Nkya.
Police Force... Salute kwa Mr. Mwabakila, Ngonyani, Nasser Mwakambonja, Notker, na wengine wengi.
Office ya mkemia mkuu... Salute kwa Mr. Mollel
Sociology department.. Salute kwa Dr. Mbatta
Mathematics department... Salute kwa Dr. Marijani.
IDS
Department of public administration... Salute kwa Mr. Kondi na wengineo

Nikutoe ujinga mkuu course ya Law enforcement ni multidisciplinary course haiwezi kufundishwa na school moja na inakua bora sana kama unafundishwa na experienced people rather than learned brothers maana BALE sio LLb na kuwekwa pale kitivo ni makosa maana BALE is more than law.
 
Tatizo ni kwama ulichagua UDSM raund ya kwanza ukatemwa tena chaguo la kwanza.
roho ikauma kwanini sikuchaguliwa,, sababu zilikuwa ni hizi matokeo mabovu, ulichochagua ushindani ni mkubwa yaweza ukaringia una one ya 7 lakin hyo one yako kwa UDSM kama umechagua petrolium eng sahau kuchaguliwa , yatakiwa uwe una one ya 6 tena iwe ina A Moja huy ndo wa mwisho, kama ulichagua sheria huna one we sahau .kama umechagua ualimu wa masomo ya sanaa huna one hupati kitu japo wako elfu naa,hebu wewe kwa chuo chako nitajie fuclty amabayo wote walichaguliwa wana ONE kuondoa chuo cha muhimbili na sua maana vyote hivi ni watoto wa UDSM,, au chuoni kwako kuna mwanafunzi gani alichaguliwa akiwa ana A tatu?
sasa chuki zako usilete kisa ulitemwa ndugu... kama chuo chako ni bora leta link yoyote unayoijua kuwa chuo chako kilishawahi kushika nafasi ya kwanza kwa ubora .. hivyo vigezo ulivyovisema hata wao wanaviona ila bado chuo ni cha kwanza tanzania..
tuache wivu ungetoa maoni udsm ili mtu wakilishe zaidi vizuri fanya hili na hili,,,
 
Mkuu umeongea point nyingi mno. Kuna wazee pale udsm wanaona wao ndo hujua kila kitu, ukiangalia Elimu yake ya kuunga Unga diploma mpaka PhD, wengi wao wamekalili madude so wanawaforce nanyi mkalili.
CONAS inaongeza kwa ukiritimba na uonevu haswa Chem department hawa jamaa wamenicheleweshea kuanza maisha kwa kunisomesha degree miaka minne
ulikuwa kilaza haaaaaaaaaaa.......we ulitaka uachwe wakati ulikuwa mla bata na tutabana hadi miaka tano...
 
Gpa ya 5 ya udom,saut,mzumbe na uchafu mwingine wa aina hyo ni sawa na Gpa ya 2.0 ya udsm.asa ni jishangae wewe unaesema cjui mshkaji wako aliachwa,hayo mengne ni changamoto za maisha tu.
Jitu la UDSM haliwezi kucompete na na Mwanaume wa MZUMBE.... Hata iweje... academically MZUMBE IKO JUU ZAIDI YA UDSM...
 
Mkuu umeongea point nyingi mno. Kuna wazee pale udsm wanaona wao ndo hujua kila kitu, ukiangalia Elimu yake ya kuunga Unga diploma mpaka PhD, wengi wao wamekalili madude so wanawaforce nanyi mkalili.
CONAS inaongeza kwa ukiritimba na uonevu haswa Chem department hawa jamaa wamenicheleweshea kuanza maisha kwa kunisomesha degree miaka minne
POLEE MZEE MALECTURE WA ORGANIC CHEMISTRY PALE UDSM WANAZINGUA WANATUNGA TESTS NA UE NGUMU KAMA NINI
 
Back
Top Bottom