Chuo Kikuu Dar es Salaam kinatia aibu

Chuo Kikuu Dar es Salaam kinatia aibu

Udom iko vizuri saana, ukitaka utam wa ngoma ingia ucheze,, ni ukweli usio fichika Udsm miundombinu mibaya mno, nilienda kumtembelea rafiki yangu pale kiukweli nilishangaa ukienda chooni looh yaani khaaaaa pachafu my, majengo yamechakaaa kwelikweli sio siri nilimshukuru mungu kwa kutochahuliwa pale licha ya kuwa na ufauru mzuri,,, Udsm inabebwa na ukongwe wake Lakin hakuna lolote jipya pale, hata wanafunz wake ni normal saana na wamejaa sifa za kijinga eti utakuta mtu anajisifia yeye ni wa Udsm yaani hicho ndo walichobaki nacho utazani Udsm ni mbinguni,, poleni saana wenye imani hiyo na kusifia vyuo mnavyo soma ila mkija mtaani Hali inakuwa tete kwa wote bila kujali we ni wa MUCE, UDSM UDOM, SAUT, etc. Afu hoja ya kusema UDOM ni ccm ni ujinga uliopitiliza maana kila chuo kina wanachama aidha wa, Ccm, CHADEMA ama CUF ni aibu sana unajiita msomi halafu unabwabwaja tuu bila logic kisa ushabiki usio na maana, all in all karibu UDOM chuo safi, mazngira safi, walimu safi elimu safi (ukijfanya mla bata DISCONTINUE rafiki yako) tatizo wengine mnakimbilia udsm Ili mkangalie jiji Hahaha acha niende lecture !!!!! Wale mnajisfia vyuo tutakutana mtaan
Ukitoka Upitie UJASI jua kaliiii.... Maji tatizo nafuu majengo tu otherwise nyinyi=ENCENFORD hata SAUT hampaswi kucompete nao MKUU...
 
wao wataendlea kuwa static kwani hata walimu wao ni walewale wa udsm,muce au duce na sua kidogo....! ukienda zako na application toka udom,mzumbe nk utaishia kufanya interview tu hata kama una GPA ya 5,very stupidy!!
GPA ya 5 inamaanisha nini?
 
MDACHI na MGINA bila kumsahau MAHUGIJA hawa Jamaa Waache uduwanziii aseeh
Ha ha kuna mtu anaitwa MUHINZI. Alisha wahi nifundisha inorganic chemistry. Huyu jamaa alikuwa hafai ata kidogo enzi hizo
 
Kwakweli ni jipu. Zile hall 5 na 2 zimechakaa... Cafeteria ndo kubovu... Yani ni jipu mno
 
Mutuache na chuo chetu hivyo vyenu hata 100 bora Africa havipo blahblah nyingi
 
wao wataendlea kuwa static kwani hata walimu wao ni walewale wa udsm,muce au duce na sua kidogo....! ukienda zako na application toka udom,mzumbe nk utaishia kufanya interview tu hata kama una GPA ya 5,very stupidy!!
Ujue hawakidhi vigezo
 
wao wataendlea kuwa static kwani hata walimu wao ni walewale wa udsm,muce au duce na sua kidogo....! ukienda zako na application toka udom,mzumbe nk utaishia kufanya interview tu hata kama una GPA ya 5,very stupidy!!
Nani kasema GPA ya 5 ndo kigezo pekeee kinachotumika kuajiri
 
Jitu la UDSM haliwezi kucompete na na Mwanaume wa MZUMBE.... Hata iweje... academically MZUMBE IKO JUU ZAIDI YA UDSM...
Vigezo gani vinatumika kupima ubora wa elimu ya chuo? Unatumia kigezo kipi katika kufanya hitimisho la hoja yako uliyoiweka?
Tatizo mnasumbuliwa na ushabiki bila kujua creteria wanazotumia ku-rank ubora wa vyuo! Chuo chenye rank ya juu implications yake ni nini kwenye utoaji wa elimu wake?

Note: si wote waliopitia vyuo bora kuwa na wao ni bora kama vyuo vinavyosadikika pia vivyo hivyo hata kwa vyuo vya kati na vya chini!
 
Back
Top Bottom