Chuo cha Sokoine (SUA) chashika namba moja Tanzania (Citations)

Hujui maana ya tafit wewe..nchi zote zilizoendelea zimefanikiwa kwa ajil ya tafit za kisayansi na zingine..ww unaongelea matapu tapu sijui kusukuma life..kama ww unasukuma life ndo mana limekushinda..life halisukumwii kwan sio gari hilo..
 
wanafanya tafiti,za ku gain publicity na sio productivity.naweza kutumia lugha hiyo.maana hatuoni hizo tafiti zikiwafikia wananchi huku chini,tafiti ambazo zinawekwa tu kwenye mafail Basi ,badala ya kuzisambaza kwa wanufaika.

SUAwamegundua tafiti nyingi lakini zinabaki maktaba tu,hazitoki nje,na hiyo ndo kero kubwa kwa Hawa watafiti wetu. Hawana hata exra strategy za kuzifanya tafiti zao ziwafikie walengwa na sio kuwafikia tu bali zitoe impact.
 
Soma komenti namba 4 hapo juu...

Alafu ukishasoma jiulize serikali yako imetenga kiasi gani kwenye tafiti?

Ukipata jibu wapongeze SUA maana pamoja na serikali kusahau tafiti lakin wanaendelea kujikongoja bila kukata tamaa!!
 
UDSM ya pili!!!

Hawajatengeneza hata mtambo wa kufyatua toothpick tu
 
Hongera zao sana, Sio haba chuo changu kipo juu pia.
 
Uwage na staha bas khaaaah, kuita chuo kingine ni "jalalani".
Sio ustaarabu.
Sorry mkuu, nimemnukuu profesa kabudi! Kama hujui kabudi kasoma pale na kufundisha pia, nadhani ametumia zaidi ya miaka 30 akiwa pale! sasa sio mtu wa kumdharau, analosema lina uzito hata when it comes to "pale".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…