Chuo cha Sokoine (SUA) chashika namba moja Tanzania (Citations)

Mbona hizo tafiti hatuzioni kwenye kutatua changamoto za kila siku za wananchi, kwenye statitistics Tz tuko safi ila practically impact Zero, Mwaka unaisha husikie uvumbuzi wowote kutoka katika hivyo vyuo.
Unataka wakipublish tafiti zao waje hapo kwenye chumba kilichojaa panya na mende wakuletee copy? Uliwahi ona wapi maarifa yanamtafuta mtu na Siyo mtu kuyatafuta maarifa?

Ngoja watakuletea copy
 
Hujui chochote wewe.Rais mwenyewe alipokuja 2017,alishangaa Sana kuona Jamii fupi za mipapai zilizogunduliwa SUA,pia aliona Panya wanaotumika kutegua mabomu na kupima km mtu ana kifua kikuu,halagu wewe Mwajuma Ndala ndefu unasema eti hakuna lolote.
Baadhi ya watanzania wenzetu ni wa hovyo sana ndugu. Just ignore them. Lakini waelewe tu kwamba SUA ni chuo Siyo jalala
 
Baadhi ya watanzania wenzetu ni wa hovyo sana ndugu. Just ignore them. Lakini waelewe tu kwamba SUA ni chuo Siyo jalala
Kweli, inabidi tuwapuuze tu, maana wao wanaadmire vitu vya nje hata km ni vya kipuuzi lkn vya Kwetu wanavidharau hata km ni wazungu wenyewe kweli nabii hakubaliki nyumbani kwao.
 
Mbona hizo tafiti hatuzioni kwenye kutatua changamoto za kila siku za wananchi, kwenye statitistics Tz tuko safi ila practically impact Zero, Mwaka unaisha husikie uvumbuzi wowote kutoka katika hivyo vyuo.
Zipi unazo ziona?
 
Back
Top Bottom