Chuo cha Sokoine (SUA) chashika namba moja Tanzania (Citations)

Nyie madogo mkitokaga na hizo bla bla huko ndio mnakuja kusumbua hakuna kazi, just do what's yours guy. Chuo kishike namba kisishike we soma maliza focus kwenye life yako.. watu hata shule hawajaenda wanasukuma life za maana nyie ni kukomaa na university rankings. Why should you care anyways?
Hujui maana ya tafit wewe..nchi zote zilizoendelea zimefanikiwa kwa ajil ya tafit za kisayansi na zingine..ww unaongelea matapu tapu sijui kusukuma life..kama ww unasukuma life ndo mana limekushinda..life halisukumwii kwan sio gari hilo..
 
wanafanya tafiti,za ku gain publicity na sio productivity.naweza kutumia lugha hiyo.maana hatuoni hizo tafiti zikiwafikia wananchi huku chini,tafiti ambazo zinawekwa tu kwenye mafail Basi ,badala ya kuzisambaza kwa wanufaika.

SUAwamegundua tafiti nyingi lakini zinabaki maktaba tu,hazitoki nje,na hiyo ndo kero kubwa kwa Hawa watafiti wetu. Hawana hata exra strategy za kuzifanya tafiti zao ziwafikie walengwa na sio kuwafikia tu bali zitoe impact.
 
wanafanya tafiti,za ku gain publicity na sio productivity.naweza kutumia lugha hiyo.maana hatuoni hizo tafiti zikiwafikia wananchi huku chini,tafiti ambazo zinawekwa tu kwenye mafail Basi ,badala ya kuzisambaza kwa wanufaika.sua wamegundua tafiti nyingi lakini zinabaki maktaba tu,hazitoki nje,na hiyo ndo kero kubwa kwa Hawa watafiti wetu. Hawana hata exra strategy za kuzifanya tafiti zao ziwafikie walengwa na sio kuwafikia tu bali zitoe impact.

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Soma komenti namba 4 hapo juu...

Alafu ukishasoma jiulize serikali yako imetenga kiasi gani kwenye tafiti?

Ukipata jibu wapongeze SUA maana pamoja na serikali kusahau tafiti lakin wanaendelea kujikongoja bila kukata tamaa!!
 
Moja kati ya kazi kuu za chuo chochote duniani ni TAFITI.

Chuo chochote hapa duniani kitaonekana bora kama kina wana sayansi (academicians) bora walio tuliza akili na kuandaa tafiti na ku publish tafiti zao kwenye juornal za kitaifa na kimataifa!

Kwa kuongoza kwenye citation ni ishara wazi kwamba SUA wana wanasayansi wanao fanya tafiti zenye tija duniani!

Na hii ndio sababu kuu wamekamata namba moja Tanzania!

Wakati madokta na maprofesa wa vyuo vingine wakitumia muda mwingi kuunga juhudi na kupiga siasa, hali ni tofauti kwa SUA!

Mimi kama Mtanzania mzalendo nachukua nafasi hii kukipongeza chuo kikuu cha kilimo Sokoine kwa hatua hii!!

Webometrics Ranking: Sokoine University of Agriculture ranked first place in citations

TRANSPARENT RANKING: Top Universities by Citations in Top Google Scholar profiles | Ranking Web of Universities: Webometrics ranks 30000 institutions

View attachment 1709313
UDSM ya pili!!!

Hawajatengeneza hata mtambo wa kufyatua toothpick tu
 
Hongera zao sana, Sio haba chuo changu kipo juu pia.
 
Uwage na staha bas khaaaah, kuita chuo kingine ni "jalalani".
Sio ustaarabu.
Sorry mkuu, nimemnukuu profesa kabudi! Kama hujui kabudi kasoma pale na kufundisha pia, nadhani ametumia zaidi ya miaka 30 akiwa pale! sasa sio mtu wa kumdharau, analosema lina uzito hata when it comes to "pale".
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom