Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,627
- 19,953
Indeed KARMA is real
Yule amevua level ya ....Samia na wenzake wangezingatia mawazo yako, leo asingekuwa Urusi kama Rais.
Dunia haina huruma.
Sio mapenzi, sio pesa sio Nini, jitahidi sana chozi la mtu lisidondoke wewe ukiwa chanzo.
Una umiza hisia za mtu au watu, unajitapa we bingwa wa kuumiza watu kwenye mapenzi, una dhutumu una ibia watu una ua watu wanao tegemewa na familia zao, kisa pesa au kisa uonekane mzuri sana.
Una kutana na Mzee, anateseka sana unajiuliza huyu ujana wake alitumiaje, huyu mshikaji vipi, huyu ye kulia kila siku, shida haziishi, unakutana na mwanamke ye ni kuhangaika hasaidiki, madeni yeye, maradhi yeye unajiuliza shida Nini, baba, mama Kuna machozi ya watu huko nyuma, huwezi solve, tulia.
WHAT GOES AROUND, COMES AROUND.
Khamis Ndombolo wewe tufanye ubaya tu, sisi hatukurudishii ni Mwendo wa kulia tu.Wazee wa nadharia za karma.
Mungu atatulipia.Khamis Ndombolo wewe tufanye ubaya tu, sisi hatukurudishii ni Mwendo wa kulia tu.