chunga sana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Chunga sana mtu asilie kwa ajili yako

    Sio mapenzi, sio pesa sio Nini, jitahidi sana chozi la mtu lisidondoke wewe ukiwa chanzo. Una umiza hisia za mtu au watu, unajitapa we bingwa wa kuumiza watu kwenye mapenzi, una dhutumu una ibia watu una ua watu wanao tegemewa na familia zao, kisa pesa au kisa uonekane mzuri sana. Una kutana...
  2. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kijijini watu ni wakatili chunga sana wake za watu

    Usije ukaenda kijijini ukapata mwanamke kumbe ni mke wa mtu. Watu wa kijijini sio wastaarabu ndugu zangu watakuangalia wanakusomea nyendo zako usije kushangaa unatenganishwa kichwa kama kumbikumbi. Chunga sana unapoenda vijijini usijione wa mjini ukadhani wanawake watakaokushobokea ni kutaka...
  3. covid 19

    JamiiForums Tanzania Jeuri ya nini na sote tupo chini ya jua, ubabe wa nini wakati na wewe pia umezaliwa kijana? Chunga sana

    Maisha ni safari, Heshima na upendo ni vitu muhimu katika safari hii ya maisha.
  4. Sajo

    JamiiForums Tanzania TANZIA Msanii wa HipHop SALU T afariki dunia

    Msanii mkongwe wa Hip Hop nchini, Salutaba Mwakimwagile maarufu kama Salu T amefariki dunia jijini Mbeya leo tarehe 15 Aprili 2023. Msanii huyo amefariki akiwa anaendelea kupewa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mbeya. Akitoa taarifa ya awali, Msanii mwingine wa HipHop, Taikun Ally maarufu...
Back
Top Bottom