Chunga sana mtu asilie kwa ajili yako

Chunga sana mtu asilie kwa ajili yako

Karma is real, Kuna dada Mmoja aliolewa na muuza nanasi, yule dada si kapata matajiri akamkimbia jamaa, weee yule dada alikua analiwa tu anatupwa kule, ACHA TU arirudi analia ka mtoto
Kuna mwenzake alihama chumba jamaa asiipige!akaacha kupika,akaacha kufua nguo!!kutwa maneno mabaya kwa watoto akimsema jamaa!!

Jamaa akachoka akaenda kuanzisha maisha mapya sehem!!

Sasa hivi kaamua kuchukua mwanafunzi wake aliemfundisha secondary kuwa mumewe!!!anaonekana kituko kwenye jamii!!!

Hakuna anaemwelewa mtaani!!

Sasa wanajuliza huyu alikua anaringia nini kwa mchizi!!?
 
Sio mapenzi, sio pesa sio Nini, jitahidi sana chozi la mtu lisidondoke wewe ukiwa chanzo.

Una umiza hisia za mtu au watu, unajitapa we bingwa wa kuumiza watu kwenye mapenzi, una dhutumu una ibia watu una ua watu wanao tegemewa na familia zao, kisa pesa au kisa uonekane mzuri sana.

Una kutana na Mzee, anateseka sana unajiuliza huyu ujana wake alitumiaje, huyu mshikaji vipi, huyu ye kulia kila siku, shida haziishi, unakutana na mwanamke ye ni kuhangaika hasaidiki, madeni yeye, maradhi yeye unajiuliza shida Nini, baba, mama Kuna machozi ya watu huko nyuma, huwezi solve, tulia.

WHAT GOES AROUND, COMES AROUND.
Kama anatoa Machozi chanzo kikiwa ni yeye mwenyewe inakuwaje?
 
Usilete hasira mkuu, mambo mengine hayazungumziki hapa, unaijua karma mkuu, ua basi na wewe, sihamna kitu
Sio hasira kaka, ungekuta haya maisha yapo kama unavyofikiria ungekuta simba porini anazo laana za kutosha.
Maisha yetu yanatutaka kuwa imara kimwili na kiakili ili kuepuka kuwa mawindo ya jamii nyingine
 
hii dunia sio ya wanyonge, mambo ya karma ni faraja za watu wasiojimudu. ukiona karma inakufuata basi imani yako sio thabiti, epuka kuwa vuguvugu.

kama ni mtu unataka kuingia kwenye ulimwengu wa wachache basi jitahidi kwenye haya maisha uwe upande wa mlalamikiwa sio mlalamikaji.

Machozi na furaha vipo tu, either unafanyia au unafanyiwa ubaya sisi wote ni wakosaji na Mungu ni wetu sote.

za kuambiwa changanya na zako
 
Sio hasira kaka, ungekuta haya maisha yapo kama unavyofikiria ungekuta simba porini anazo laana za kutosha.
Maisha yetu yanatutaka kuwa imara kimwili na kiakili ili kuepuka kuwa mawindo ya jamii nyingine
Unasema simba mbona hujisemi wewe kwani hili kuku, huli ng'ombe, mbuzi kondoo nk, simba kahalalishiwa kula swala nk, wewe ume halalishiwa kula kuku nk ila wewe umeharamishiwa kuua, kuzurumu mali ya mtu kuiba nk, kaka jua kutofautisha basi ili uelewe mada, Asante na karibu
 
Nyie ndo mnajifanya wasomi, unaa ambiwa huu ugonjwa hautibiwi hospitali, umekomaa tu malaria imepanda, tulia kijana hujakua bado
Mnacomplicate sana mambo. sema tunatumia muda mwng kujifunza ilim ya secular(mambo ya mwilini) kuliko ya rohoni. laiti kama 2ngetumia muda mwingi kusoma roho zetu zpoje kusingekuw na nyuzi za namna hii. kwenye roho kila k2 ni energy na frequency ko apo ni kucheza na manipulation ya hvo v2, ata ikitokea majanga hutatafsiri kama karma. karmic law kuna mazngra inamake sense mengne haimek.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom